KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,023
- 40,471
1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili
2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Ushauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"
Mkuu,hata mimi ni mhanga wa hili jambo la "tafuta pesa ndio uoe"
Leo nimefikisha um ri ambao nilitakiwa angalau niwe hata na mtoto mmoja,lakini vyote sina,hela sina na ndoa sina
Tunajilisha uongo na tunalishwa uongo sana mkuu ......!!
WARUMIAmeniambia mimi. Siyo kila kitu lazima kiandikwe ndio kichukuliwe ni maagizo ya Mungu. Mathalani ni wapi imeandikwa mwanamke kunyonya dushe la mwanaume ni dhambi. Je kwakuwa haijaandikwa kwahiyo ni ruksa?
Mungu anapenda wote....maskini kwa matajiri. Matajiri wanapendwa ndio lakini pesa zao zinawaweka mbali na Mungu
Ahsanta kwa jibu murua. Mungu anawapenda matajiri. Kwahiyo hakuna ubaya wa mtu kutafuta pesa, right?
Unajua maskini wengi sana wanamkufuru Mungu??
WARUMI
3 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika
tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata
wakavunjiana heshima miili yao.
24 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu
kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na
kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa
milele. Amina.
25 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao
za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya
asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
26 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha
matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa,
wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata
nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo
haki yao.
Hela ninayoongelea hapa ni ile ya kutumiza wajibu wako ww mume like kumnunulia mkeo gari analotaka,,, simu,,, hosp yenye hadhi,,, vaccation once in while,,, nyumba nzuri,,, shoping aitakayo sio aishi maishi ya ndotoni kila siku kusadikika
Matumizi yasiyo ya asili ni yapi mama? Hebu nambie mwanamke akivaa viatu amekiuka matumizi ya asili ya kutembea peku? Je ni dhambi?
Bila hela huyo mke utamtunza na nn??????
Sir god atakutimizia kila kitu bila ww kuzisaka pesa?????
Marriage is all about money!!!! siku moja utakubali nisemayo
Mkuu,hata mimi ni mhanga wa hili jambo la "tafuta pesa ndio uoe"
Leo nimefikisha um ri ambao nilitakiwa angalau niwe hata na mtoto mmoja,lakini vyote sina,hela sina na ndoa sina
Tunajilisha uongo na tunalishwa uongo sana mkuu ......!!
Kwahiyo umekubakubaliana na mimi kuwa Mungu anawapenda wenye pesa, right?
Hapana,lakini inaonesha kuwa mali na kwenda kwa Mungu ni kama maji na mafuta japokuwa wakati mwingine inawezekanaKusema "ni vigumu kwa tajiri kuingia mbinguni" kunajustify kuwa Mungu hawapendi wenye pesa?
Mkuu,kwani hapa mnazungumzia pes au utajiri?Kama angekuwa hawapendi wenye pesa....kwanini tumeelekezwa tupeleke sadaka ghalani mwa Bwana?