Hela huwa haitoshi milele atafute mpaka lini?
Kwa msisitizo hela ni muhimu,Ndio maana inafika miaka 2 ndoani watu wamechokana kisa mipango haiendi,kulumbana tu,kulalamika etc
1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili
2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Ushauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"
wanaoongoza kwa michepuko ni wanaume walio na hela au ni wanawake walioolewa na wanaume wasio na hela nyingi? Michepuko inachochewa zaidi na Tamaa au umasikini au utajiri?1, ukioa bila hela unatunzaje huyo mke/wak!!!!!!!!! ndo maana michepuko inazidi coz mume anashindwa kutimiza wajibu financially though stms for fun
Kuna mipango ya kutafuta hela, na mipango ya kutumia hela. ukiwaza upande mmoja tu wa shilingi itakusumbua. lazima uwe na yote kwa wakati mmoja.2, Mipango bila hela ni sawa na kitanda bila mke,,,, tafuta hela then panga cha kufanyia!!!!!!!!!!
Sijui ninaposema mipango unachagua kuamini nini. una point ya msingi ila haina corelation na ninachojaribu kukisema... Unaona, unapanga, unatake over. Hela haiji tu... lazima uwe na mipango ya kuzipata, mipango ya kuzibakisha na kuendelea kuziongeza.... ukiacha kimoja wapo utakuwa unazunguka tu hapo ulipo.Kuna ndg yng mmoja husema ivi " maskini wana mipango mizuri sana lkn hawajui kutafuta hela" so akitaka new idea anaita rfk yke maskini sana na anapata idea nzuri sana. so ni bora upoteze muda kuzisaka pesa kuliko kuwekeza kwny mipango...
Hii ipo kwa wazungu sana au kwa wabongo wachache sana walioshauriwa vibaya,3, hapo inategemea ke/me kaolewa kwa sababu gani!!!!!! mwngne anaolewa akae mda fulani aombe taraka apate mgao
Hao unaosema masikini wana jeuri saana kwa taarifa yako. Labda ukute ameoa mtoto wa tajiri au mdada mwenye hela kumshinda yeye kama hatokuwa makini na kucheza karata yake vizuri inamlazimu kuwa hivyo...kwa case ya furaha ndoa za maskini zina furaha coz mwanaume hana kitu atakua mnyenyekevu balaa deki atapiga na ugali atasonga bajeti ya nyanya1 moja mtapiga wote kasheshe apate mbona utakoma!!!!!!!!! atatafuta mwny hadhi yake...... uliza walioanza frm the scrach wakapata wakwambie moto wake ulivyo
Mie nadhani hata kufikiri kwetu kunazidi kupungua. Na Mara nyingi ambao hawako kwenye ndoa ndio wanaweka vigezo vya pesa coz hilo ndio linaonekana la muhimu kuliko yote.
...pesa haiishi kutafutwa. Eti tafuta pesa ndio uoe...!
Niambie Mungu yupi unayemjua wewe anayependa umaskini...
Hasarakuwa bachelor kuna raha sana jamani kuliko kuoa
Aisee pesa ndio kula kitu na hio amanii unayoona katika ndoa za watu na kupata taama ya kujiingizaa ni pesaa ndugu yangu! Tafuta pesa halafu tafuta kisu kikalii dunia itakujuaa tuuuuu ndugu
Nimegundua kinachowasumbua wengi ni ujinga [kutokujua]
Kwanza nina uhakika hata hujui amani ni nini,halafu ninauhakika wewe bado hujaona mambo mengi sana humu duniani
Halafu hujui kabisa hata unachoandika na hili ni tatizo kubwa sana
Unawasemea watu wengine utadhani hata unawajua wote hao "wanaojiingiza kwenye ndoa kwasababu ya tamaa ya pesa"
Unafikiria kila mtu anataka dunia imjue
Kazi ipo kubwa sana!
Wewe unavyojua matunzo ni kitu gani?Bila hela huyo mke utamtunza na nn??????
You know nothing about God,so acha kabisa kuen delea kujionesha vile ambavyo hujui kituSir god atakutimizia kila kitu bila ww kuzisaka pesa?????
Hebu acha kuchekesha watu we binti,hujaolewa halafu unadai ndoa ni pesa,sijui kama uko sahihi weweMarriage is all about money!!!!
Labda cha kukumbuka kuhusu hili ni vile ambavyo nilivyocheka nilivyosoma haya maelezo yako!siku moja utakubali nisemayo
Sawa mkuu! Si kila MTU anatakaa dunia imjue! Ila maneno yangu si sheria Kama wewee unaushaurii mzuri Sana sio mbaya pia mwambie aoe hailazimishwi mkuu ila Mimi naishii kwenye dunia nyingine ya kutafuta pesa na kuvuta vitu vikali vya kuzingua dunia ndio maana nkasema hivyo.
Ni sawa sikatai kuna cases kama hizo....lakini sio haki kuwahukumu maskini wote kwa staili hiyo. Mimi nna ndugu zangu kibao walioanza kwa staili ya kukaa chumba kimoja sasa hivi wana hali nzuri na ndoa zao ziko vizuri tu....hao matajiri wanaogeuka nimewaona kwenye bongo muvi tu kwenye real life sijawahi kuwaona kiukweli
Mungu anatupenda wote haijalishi ni masikini ama tajiri maana riziki anagawa yeye na umasikini si kilema ni mitihani tu anatupa na ndio mana kwenye maisha kuna kupanda na kushuka.
God of Abraham,Isack and Jacob .....
That's why alisema "ni VIGUMU kwa tajiri kuingia Ufalme wa Mbinguni"
Unaijua sababu?
Mmmhhh humu ndani kuna nadharia za kidhanifu hadi kero
Umegeuza sentensi....wewe kwenye sentensi yako umesema 'Mungu anapenda wenye pesa' amekwambia nani au imeandikwa wapi??
Hela ninayoongelea hapa ni ile ya kutumiza wajibu wako ww mume like kumnunulia mkeo gari analotaka,,, simu,,, hosp yenye hadhi,,, vaccation once in while,,, nyumba nzuri,,, shoping aitakayo sio aishi maishi ya ndotoni kila siku kusadikika
Kusema "ni vigumu kwa tajiri kuingia mbinguni" kunajustify kuwa Mungu hawapendi wenye pesa?
Kama angekuwa hawapendi wenye pesa....kwanini tumeelekezwa tupeleke sadaka ghalani mwa Bwana?
Hela huwa haitoshi milele atafute mpaka lini?
AsprinNitajie watatu unaowajua ambao hawataingia peponi.