Umuhimu wa ndoa kwako

Dada wewe inaelekea umezoea maisha ya juu sana wengine hapa tumetoka kayumba family tumekulia kauzu milenda hata hizo smartphone hatujawahi shika unadhani nikiolewa na mwanaume mwenye chumba kimoja tukaanzia maisha sitaridhika? Halafu inategemea ndoa unaichukulia vipi mimi kwa upande wangu ndoa naiona ni stara na mume ndio vazi litakalokustiri,ndoa ni nusu ya dini na inampandisha mtu hadhi naipenda sana ndoa namuomba sana Mungui anijalie mume mwema ili nisiichukie ndoa.
Hela ninayoongelea hapa ni ile ya kutumiza wajibu wako ww mume like kumnunulia mkeo gari analotaka,,, simu,,, hosp yenye hadhi,,, vaccation once in while,,, nyumba nzuri,,, shoping aitakayo sio aishi maishi ya ndotoni kila siku kusadikika
 

Sentence hii ya kujaliwa mume mwema ndo nakubaliana na ww!!!!!!!!!
Maisha yng ni kawaida sana na najitahidi kupambana nitoke,,,,,,,,,,,,, hebu olewa na huyo wa chumba kimoja kila mtu na mtazamo wake........
 

yaelea.umekulia maisha ya ya kutukuza pesa..

naomba unijib hili swali dogo tu, je baba yako ana hela za kumnunulia mama yako gari analotaka, kumpeleka vacations, nyumba nzuri geti kali etc etc,

na kama hana huo uwezo unahisi mama yako ni mjinga kufanya nae maisha na baba yako?

na kama baba yako ni tajiri, unafikiri pesa ndio iliemfanya mama yako aolewe nae??
 
Sentence hii ya kujaliwa mume mwema ndo nakubaliana na ww!!!!!!!!!
Maisha yng ni kawaida sana na najitahidi kupambana nitoke,,,,,,,,,,,,, hebu olewa na huyo wa chumba kimoja kila mtu na mtazamo wake........

Mwisho wa siku...... Pesa ndio sabuni ya roho.

Hata Mungu hupenda wenye pesa.
 
Nilichosema mimi usiipe pesa kipaumbele kwenye ndoa,dada yangu alianza maisha na chumba kimoja lakini sasa wana nyumba tatu tena zenye hadhi na gari na wanapendana mpaka raha japokuwa ndoa yao ina miaka 15,jambo la msingi ni upendo wa kweli na mkisharidhiana mnaishi vyovyote tu PESA NI IBILISI UKIIPA KIPAUMBELE INAKUVUA UTU WAKO.
Sentence hii ya kujaliwa mume mwema ndo nakubaliana na ww!!!!!!!!!
Maisha yng ni kawaida sana na najitahidi kupambana nitoke,,,,,,,,,,,,, hebu olewa na huyo wa chumba kimoja kila mtu na mtazamo wake........
 
Wengine ni "sikio la kufa"...!hata umwanbieje hawezi kukuelewa, fate ndio itamuelewesha..!
 
Unamaanisha wenye pesa hawalumbani? Ungejua ndoa za maskini zina maelewano mazuri kuliko za hao matajiri

Tena hao ndio wengi wao hata kutoka na mke wake tu anaona nongwa,
kweli pesa siyo "main determinant factor" ya kuoa.
Mapenzi na maisha ya ndoa ni zaidi ya pesa mkuu baby is mady
 
Last edited by a moderator:

Aisee pesa ndio kula kitu na hio amanii unayoona katika ndoa za watu na kupata taama ya kujiingizaa ni pesaa ndugu yangu! Tafuta pesa halafu tafuta kisu kikalii dunia itakujuaa tuuuuu ndugu
 
Shost huyo maskini akipata utajutraaaaaa!!!!!!!!

Ni sawa sikatai kuna cases kama hizo....lakini sio haki kuwahukumu maskini wote kwa staili hiyo. Mimi nna ndugu zangu kibao walioanza kwa staili ya kukaa chumba kimoja sasa hivi wana hali nzuri na ndoa zao ziko vizuri tu....hao matajiri wanaogeuka nimewaona kwenye bongo muvi tu kwenye real life sijawahi kuwaona kiukweli
 
Niambie Mungu yupi unayemjua wewe anayependa umaskini...

Umegeuza sentensi....wewe kwenye sentensi yako umesema 'Mungu anapenda wenye pesa' amekwambia nani au imeandikwa wapi??
 

Hela huwa haitoshi milele atafute mpaka lini?
 
Tena hao ndio wengi wao hata kutoka na mke wake tu anaona nongwa,
kweli pesa siyo "main determinant factor" ya kuoa.
Mapenzi na maisha ya ndoa ni zaidi ya pesa mkuu baby is [MENTION=239676]mady[/

Ni vizuri kujifariji
 
Last edited by a moderator:
Mungu anatupenda wote haijalishi ni masikini ama tajiri maana riziki anagawa yeye na umasikini si kilema ni mitihani tu anatupa na ndio mana kwenye maisha kuna kupanda na kushuka.
Nitajie watatu unaowajua ambao hawataingia peponi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…