Hawajajua madhara ya kuchepuka! Wanadhani wanapata amani kumbe wanabomoa familia!Sijui kwanini wanaona wana haki ya kuchepuka
Tena wako proud kabisa na wanachokifanya
Hao wengi sanaAcha kunidanganya... Yaani kwa haraka haraka wako wanne hivi!!
Kuna wakati mke ndani anakua pasua kichwa haswa,nyumbani hakukaliki mpaka inabidi utafute mdaka chozi!Hawajajua madhara ya kuchepuka! Wanadhani wanapata amani kumbe wanabomoa familia!
Kipi ambacho mke anaweza kukosea asisamehewe mpaka ukavue nguo yako ya ndani kwa mwanamke mwingine?!
Hahaha hahahaHao wengi sana
Nitawawezea wapi,Auntie yako mimi ananitosha kabisa!
Wakati wewe unatafuta mdaka chozi yeye anafanya nini etiKuna wakati mke ndani anakua pasua kichwa haswa,nyumbani hakukaliki mpaka inabidi utafute mdaka chozi!
Akupe hata faraja kidogo
Halafu unakuta hata mke hajakosea kitu...tamaa zao tuHawajajua madhara ya kuchepuka! Wanadhani wanapata amani kumbe wanabomoa familia!
Kipi ambacho mke anaweza kukosea asisamehewe mpaka ukavue nguo yako ya ndani kwa mwanamke mwingine?!
Kina dada nyie hamtakiwi kuchepuka,nyie mnatakiwa mtulie nyumbaniWakati wewe unatafuta mdaka chozi yeye anafanya nini eti
Hakuna mwenye haki ya kuchepuka, sio mwanaume wala mwanamke!Kina dada nyie hamtakiwi kuchepuka,nyie mnatakiwa mtulie nyumbani
Hii itawauma sana😂😂😂Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana
Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Michepuko kwa sisi wanaume haikwepeki kabisa,ni kuvumiliana tu!Hakuna mwenye haki ya kuchepuka, sio mwanaume wala mwanamke!
Ukiweka suala la kuvumilia michepuko haina nafasi... Hakuna aliye mkamilifu hilo likae kwenye akili zenuMichepuko kwa sisi wanaume haikwepeki kabisa,ni kuvumiliana tu!
Mimi sina uvumilivu kabisa,wife akinizingua kidogo,nampigia simu mchepuko wangu anaenda kunipetipeti!Ukiweka suala la kuvumilia michepuko haina nafasi... Hakuna aliye mkamilifu hilo likae kwenye akili zenu
Aibu nimeona mimiMimi sina uvumilivu kabisa,wife akinizingua kidogo,nampigia simu mchepuko wangu anaenda kunipetipeti!
Usione aibu,ni mambo ya kawaida kabisa,yanaongeza ushindani kwenye mahusiano!Aibu nimeona mimi
@eapy kazi unayo auntie wangu