Na tunapoongelea kutoa tunaongelea pesa - bila fedha penzi linakuwa mahututi na mwisho wake ni kufa tu. Pesa posa.
mmmh,na wewe naweits about time mtu aanzishe a thread kuhusu hili
it was long overdue
namsubiri DC....na wengine
tafadhali muanzisha thread kiswahili zaidi kitumike
Wewe tangu jana unaongelea pesa tu.
mimi siamini haya mambo ya pesa.mkipendana,mnasaidiana,kwa aliekuwa nacho,anajaribu kumsaidiana mwenzake.mambo ya kuweka hela mbele,naona kama hakuna mapenzi hapo.mimi nikikupenda,haijalishi unacho au huna muhimu kuwa happy katika relationship.ukiwa happy,vyengine vinakuwa easy.mkiwa pamoja tu,nafsi yako inaburudika,hata katika ndoa,mkiwa na mapenzi,hata kama maisha ndio hivyo hivyo,mnaridhika tu.usione watu na majumba yao katika ndoa na mali zao,wengine huwa na stress tupu utajiuliza huyu kulikoni,mbona ana kila kitu.
hata kama mke anakuzidi pesa
baba lazima awe baba
awe kiongozi wa familia
sipendi mume b.w.e.g.e jamani
mie hata limbwata sijui huwasaidia nini kama linampumbaza mtu
unakuta baba anachomwa na kidole machoni anacheka cheka tu.
hela nazitafuta mimi mwenyewe.kwa kujituma,huna tabia ya kumtegemea mtu,kwa the way nilivyolelewa.mapenzi kwangu,naangalia kikubwa tabia.uliye naye hana pesa? kama anazo kwa nini huko na ambaye hana pesa?
unanitega au?ok,nipo singlehujajibu swali
ps. kuna maskini wengi hawana pesa ila wana tabia nzuri
kwenye mapenzi ni kosa kubwa kukubaliana na msemo wa Nyerere kuwa fedha sio msingi wa maendeleo bali ni matokeo tu - pesa ndio msingi mkuu wa mapenzi, bila pesa hakuna protection(ulinzi), provision(utoaji) na presiding (uongozi); kwa ufupi, bila pesa hakuna penzi.
Kwangu fedha siyo "msingi mkuu wa mapenzi". Labda kwako na kwa wengine, lakini kwa baadhi ya watu wa karibu niwajuao mimi wakiwemo babu na bibi zangu sikuwahi kusikia wala kuona katika matendo yao kuwa fedha ndiyo msingi wao mkuu wa mapenzi yao.
Kwangu fedha siyo "msingi mkuu wa mapenzi". Labda kwako na kwa wengine, lakini kwa baadhi ya watu wa karibu niwajuao mimi wakiwemo babu na bibi zangu sikuwahi kusikia wala kuona katika matendo yao kuwa fedha ndiyo msingi wao mkuu wa mapenzi yao.
tatizo lako unadhani pesa ni benjamins tu, pesa come in many forms including paperless and coin-less forms ndio maana inabidi urudi kwenye zile p 3: protection, provision and presiding
acha kubeba maboksi uone cha moto, hata kabula atakushangaa ukiwa pesaless