ShukraniUpo sahihi, watu wengi wamekuwa wakipata matatizo kwenye afya zao baada ya kushindwa kusamehe kwa muda mrefu.
Madhara yake yanajitokeza baada ya miaka mingi kupita.
Ukisamemehe sio tu kwa ajili ya aliekukosea bali hata kwa ajili yako mwenyewe.
Maneno ya Mungu yanasema hivi... Usishindwe na ubaya bali ushinde ubaya kwa wemaNini maana halisi ya kusamehe?
Kusamehe ni kuamua kutomchukulia mtu hatua na kuondoa kinyongo moyoni mwako kutokana na jambo baya ulilofanyiwa na mtu huyo. Kusamehe kunasema hutakiwi kusikia neno “nisamehe” ndipo uendelee na maisha yako. Kusamehe kumewekwa na ni kwa manufaa zaidi kwa yule aliyekosewa.
Faida za kusamehe ni
1. Unakuwa huru katika harakati zako
2. Kuimarika kiafya mfano kuepuka kuwaza(msongo wa mawazo)
3. Kuondoa hasira na chuki
4. Kuondoa utawala wa mtu mwingine katika akili yako
5. Ni aina bora ya kisasi
6. Kiashiria cha ukomavu
7. Kuongeza utulivu wa akili
8. Kuinyesha upendo.
Asanteni.
Vyote nitasamehe ila sio kugongewa aisee! Hata Mandela alishindwa ila akawasamehe makaburu.
Nimesema kugongewa hiyo ya mara ngapi umeisoma wapi kwenye maelezo yangu? Hahahahaaaas.[emoji28][emoji28]ushawahi kugongewa mara ngapi mzee?
kama yapi mkuu?Mengine huwa ni ngumu kusameheka