Umuhimu wa kuoa mwanamke bikra

brasy coco

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
1,489
896
With Secret Thirteen

Hakuna mtu anayependa kunywa kinywaji ambacho kishafunguliwa mwingine akanywa kisha akakugaia. Hakuna ambaye anapenda kula pipi ambayo ishafunguliwa ikaliwa ikabakizwa ukapewa utajisikiaje?

Hakika ni heshima kuoa mwanamke bikra nazungumzia bikra yenyewe original made by Allah si za Mchina wala za madawa.

Leo hapa tutatizama umuhimu wa kuoa bikra kwanini uoe mwanamke bikra?

Wanasayansi wanamini kuwa mwanamke ambaye ameolewa akiwa bikra ana asilimia kubwa karibu 99% kutokuwa msaliti au kuweza kuitunza ndoa yake tafauti na mwanamke ambaye alishawahi kufanya matendo hayo kabla.

Wanaendelea kusema kuwa mwanamke ambaye amejitunza usichana wake mpaka akaolewa basi inakuwa ngumu kumvulia mwili wake mtu mwingine. Ameweza kushinda majaribu yote akajitunza huyu ni mwanamke mwenye kujielewa.

Mwanamke aliyeolewa bikra hana kumbukumbu za mwanaume mwingine yeyote zaid ya atayemuoa, mwanamke huyu anaweza kuolewa na yeyote sababu hajawahi kuzini kabla kwa hiyo hana matamanio ambayo alishawahi kuyaona kwa wanaume wengine.

Mwanamke ambaye kashafanya mambo hayo awezi kuolewa tu na mwanaume atayetaka kumpa heshima sababu atakuwa na kumbukumbu nyingi za aliowah kuwa nao na hata akiolewa suala la kutoka nje ya ndoa ni jambo la kawaida kwani alishalala na wengine ww si wa kwanza wala huna jipya kwake.

Mwanamke bikra, uliyemuoa ndiyo unakwenda kumuanzisha jambo hilo ni rahisi sana kuendelea kudumu katika ndoa. Yani tangu amezaliwa ameishi miaka kibao unakuja unafungua mlango kwa mara ya kwanza tena kihalali hakika ni heshima kwako na kwa Wazee wa Mkeo.

Tukirudi kidini Mwenyezi Mungu amemuandalia Zawadi, pepo Mzazi ambaye mwanae ataolewa bikra, Kwanini anafanya hivyo? Jamani mwanamke kutunza bikra yake mpaka anaolewa ni jambo kubwa sana ndomana kwa mwanaume ukioa mwanamke bikra ni heshima kubwa tarajia hata kupata kizazi kinachosikia, chenye heshima na chenye barka kulko ukioa mwanamke ambaye si bikra watu washafanya nae mpakaa.

Unaweza kujiuliza kwanini zamani watu walikuwa wakiletewa wachumba wanaolewa hawakatai na wanadumu? Jibu ni kubwa hawakuwa na wanaume walowah fanya nao au waliokuwa na mahusiano nao,

Kwa mwanamke ambaye ameshatenda tendo hilo ni ngumu kukubali kwani kumbukumbu zake zinamsukuma kuendelea na maisha yake ya kufanya mambo yake. Na uwa ana vigezo vingi sana na Tamaa kubwa sana.

Kama ameweza kushinda vishawishi akatunza bikra yake na akakuzawadia uliyemuoa anawezaje kushindwa kukupa heshima katika ndoa?? Bikra ni heshima kubwa kwa mwanaume.

Ndoa nyingi zinavunjika kwa sasa kwasababu tunaoa wanawake ambao tayari walishafanya ngono na wanaume wengine, tena wengine walishaishi na wanaume pika pakua, unamuoa mwanamke kashatembea na wanaume wengine atakuheshimu wewe? Katika hao aliotembea nao tarajia yupo au wapo ambao anawapenda mpaka kesho na wanajua udhaifu wake watamtumia tu.

Ni vizuri kumpenda mpenzi wako lakini ni vizuri zaidi kumpenda Mwanaume ambaye ameamua kukupa heshima na kukuoa

Mwanaume wa kweli anaoa mwanamke bikra, hao Wengine wafahi

Mwanaume wa Kweli hamuharibu mtoto wa watu anakwenda kwa wazee wake anamuoa
 
Attachments

  • IMG_20190626_081742_362.jpg
    IMG_20190626_081742_362.jpg
    11.2 KB · Views: 67
Bikra+Tabia njema+Kumjua Mungu=OK,BUT Bikra+Tabia mbovu+Hamjui Mungu=Kilio...
 
samahani kama nitakuwa sijakuelewa kwa kuangalia point zako unasema sayansi inasema si ndio ??

Binafsi ninavyojua sayansi haifahamu kibra hata wataalamu wanalijua ilo

"labda niwe sijakuelewa"
 
With Secret Thirteen

Hakuna mtu anayependa kunywa kinywaji ambacho kishafunguliwa mwingine akanywa kisha akakugaia. Hakuna ambaye anapenda kula pipi ambayo ishafunguliwa ikaliwa ikabakizwa ukapewa utajisikiaje?

Hakika ni heshima kuoa mwanamke bikra nazungumzia bikra yenyewe original made by Allah si za Mchina wala za madawa.

Leo hapa tutatizama umuhimu wa kuoa bikra kwanini uoe mwanamke bikra?

Wanasayansi wanamini kuwa mwanamke ambaye ameolewa akiwa bikra ana asilimia kubwa karibu 99% kutokuwa msaliti au kuweza kuitunza ndoa yake tafauti na mwanamke ambaye alishawahi kufanya matendo hayo kabla.

Wanaendelea kusema kuwa mwanamke ambaye amejitunza usichana wake mpaka akaolewa basi inakuwa ngumu kumvulia mwili wake mtu mwingine. Ameweza kushinda majaribu yote akajitunza huyu ni mwanamke mwenye kujielewa.

Mwanamke aliyeolewa bikra hana kumbukumbu za mwanaume mwingine yeyote zaid ya atayemuoa, mwanamke huyu anaweza kuolewa na yeyote sababu hajawahi kuzini kabla kwa hiyo hana matamanio ambayo alishawahi kuyaona kwa wanaume wengine.

Mwanamke ambaye kashafanya mambo hayo awezi kuolewa tu na mwanaume atayetaka kumpa heshima sababu atakuwa na kumbukumbu nyingi za aliowah kuwa nao na hata akiolewa suala la kutoka nje ya ndoa ni jambo la kawaida kwani alishalala na wengine ww si wa kwanza wala huna jipya kwake.

Mwanamke bikra, uliyemuoa ndiyo unakwenda kumuanzisha jambo hilo ni rahisi sana kuendelea kudumu katika ndoa. Yani tangu amezaliwa ameishi miaka kibao unakuja unafungua mlango kwa mara ya kwanza tena kihalali hakika ni heshima kwako na kwa Wazee wa Mkeo.

Tukirudi kidini Mwenyezi Mungu amemuandalia Zawadi, pepo Mzazi ambaye mwanae ataolewa bikra, Kwanini anafanya hivyo? Jamani mwanamke kutunza bikra yake mpaka anaolewa ni jambo kubwa sana ndomana kwa mwanaume ukioa mwanamke bikra ni heshima kubwa tarajia hata kupata kizazi kinachosikia, chenye heshima na chenye barka kulko ukioa mwanamke ambaye si bikra watu washafanya nae mpakaa.

Unaweza kujiuliza kwanini zamani watu walikuwa wakiletewa wachumba wanaolewa hawakatai na wanadumu? Jibu ni kubwa hawakuwa na wanaume walowah fanya nao au waliokuwa na mahusiano nao,

Kwa mwanamke ambaye ameshatenda tendo hilo ni ngumu kukubali kwani kumbukumbu zake zinamsukuma kuendelea na maisha yake ya kufanya mambo yake. Na uwa ana vigezo vingi sana na Tamaa kubwa sana.

Kama ameweza kushinda vishawishi akatunza bikra yake na akakuzawadia uliyemuoa anawezaje kushindwa kukupa heshima katika ndoa?? Bikra ni heshima kubwa kwa mwanaume.

Ndoa nyingi zinavunjika kwa sasa kwasababu tunaoa wanawake ambao tayari walishafanya ngono na wanaume wengine, tena wengine walishaishi na wanaume pika pakua, unamuoa mwanamke kashatembea na wanaume wengine atakuheshimu wewe? Katika hao aliotembea nao tarajia yupo au wapo ambao anawapenda mpaka kesho na wanajua udhaifu wake watamtumia tu.

Ni vizuri kumpenda mpenzi wako lakini ni vizuri zaidi kumpenda Mwanaume ambaye ameamua kukupa heshima na kukuoa

Mwanaume wa kweli anaoa mwanamke bikra, hao Wengine wafahi

Mwanaume wa Kweli hamuharibu mtoto wa watu anakwenda kwa wazee wake anamuoa
nawaza sana , yaani nikioa nikakuta si bikra itabidi nitoke nje mpaka na mimi nipate bikra
bikra.jpeg
 
We jamaa una ndoto za ajabu sana mwanamke bikira unampata wapi labda uoe mtoto wa Std 5 ndio utamkuta na huo udambwi dambwi
 
wapo kibao, unataka kuniambia hizi ndoa za kila jumamosi wanavaa magauni meupe si ma-bikra?
huyu hapa kasema ni biktra
bikra.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom