CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Habari za mchana mabibi na mabwana...
Naomba uzoefu wenu kuhusu ufungaji wa vyumba vya kulala hasa kwa wale tunaoishi na madada / makaka wa kazi "Masterbedroom" je tunafunga kwa ajili ya usalama?
Je, tunafunga ili kwamba kuna mwenye nia mbaya asipate mwanya?
Kwa mfano una house girl, unaondoka na kumuachia nyumba nzima pekeyake huku ukiwa umefunga chumbani kwako. Ukiamini usalama upo, lakini akafanya ujanja wa kutafuta ufunguo wa ziada akawa anafanya mambo yake.
Mfano mwingine. House boy anashirikiana na house girl wanavunja mlango na kuiba usalama uko wapi hapo?
Mfano mwingine. Iwapo house girl analengo lakini baya je kufunga mlango wa chumbani ni kumdhibiti ikiwa yeye huandaa chakula cha familia wakati haupo?
Karibuni kwa michango, maoni, nyongeza.