DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 805
Siye wa single room hapa hapatufai kuchangia, ngoja nipite.
Master bedroom is a "holy place", eneo ambalo hakuna mtu anaingia ovyo, unless kuwe na sababu za msingi...
madhara ya kuacha waz master bedroom ni kwamba kule ndiko zinakaa nyaraka mbalimbali kama hati na document nyengne kuacha waz ina maana zinaweza kupotea bila wewe kugundua kwa mapema cz si kila siku tunaangalia document zetu binafs ila ukifunga pakivunjwa ni rahs kujua kama tayari umeshaibiwa na ujue wap pa kuanzia....
Privacy. First and foremost.
Ni vizuri kufunga kwa usalama na heshima.