Umuhimu wa Cheti cha ndoa

Hivi pana utofauti gani kati ya cheti cha ndoa cha dini na serikali? ... naomba kuelimishwa
HAKUNA TOFAUTI.
Mashirika ya dini hupata vyeti kutoka serikalini ili wafungishe waumini wao.
 
HAKUNA TOFAUTI.
Mashirika ya dini hupata vyeti kutoka serikalini ili wafungishe waumini wao.
Pana ufafanuz umetolewa humu jamvin kuwa waislam wanavyo vyeti vya aina2 ... bakwata na serikali
 
Mm nakumbuka tulivyogaiwa tukagawana kila mtu na chake ngoja nikitafute ata sikumbuki nilipoweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…