pal
ukishaweka hizo "principles" kwenye relationship, automatically inakua cold
I dont mind the needful even at the first minute we are together as long as it is spontaneous and sweet
haya ya kuvuta subra yanaongeza sana nafasi ya optional analysis
Mimi naamini chakula chochote kile ni maandalizi Mentor...
ila tu with ugali you have to be extra careful the type of mboga
una provide pamoja na side plates vitu vya kuweka... BUT..
bana ukipikwa kienyeji lazima u mind...lol
Sitaki kuamini kwamba nilidhani ni kitu kimoja mpaka kufikia hatua ya kuonyesha hivyo kumbe sivyo....HOW LAME!
I was being sarcastic...nimeshangaa hiyo idea ya kwamba mimi kuweka link kunahusisha/fananisha yangu na yako imetoka wapi.Kama nilidhani hivyo i would have said so...
ha ha ha Rutah... ukirudi tuarifiane basi...
OMG........and who on earth do you think can replace you?.......Nlikumisi pia ndo maana nlipoona thread yako nikaijongea faster....... And I will marry you!Babu nimekupa Like sio sababu ya ulichoongea.... No!
Ni furaha yangu kukuona nakutafuta toka juzi... imekuaje
i have been replaced??? Dah!!lol
Babu huwa hakosei kutaipu.....Na alichokiandika, ameandika. No one can erase it..... BTW naomba nionje mapishi yako. Am starving.....Babu me blushing...lol.. ila naona the above umekosea ku type...
Ruta are you serious unataka kupika?? maana kila nikiuliza you are kind of diverging.... nini umenunua??lol
Babu huwa hakosei kutaipu.....Na alichokiandika, ameandika. No one can erase it..... BTW naomba nionje mapishi yako. Am starving.....
Babu huwa hakosei kutaipu.....Na alichokiandika, ameandika. No one can erase it..... BTW naomba nionje mapishi yako. Am starving.....
"The way to a man's heart is through his stomach" - Wahenga.
Thanks sana Ashadii,
Labda swali la nyongeza tu-yeyote anaeza jibu:
Je, vipi nikimkaribisha rafiki kwangu tuje kupika wote? Je itaharibu raha ya jioni hiyo ama?
Personally (na kabla sijatoa hadithi yangu), nadhani hiyo ni more romantic kuliko aje akute nimeshapika...
u ar very right mentor! there is nothing more romantic than cooking together ( wale wanaodhani ni tamthilia jibu ni moja: U AR NOT THAT ROMANTIC!!!). yaani sina maneno ya kuielezea, wknd flani mnampa off maid na watoto kama wapo waende kushinda kwa bibi kabisaa! mweeh!
Nije saa ngapi umesema?......... Yaani nshanenepa kabla sijala.... mbona wanifanyia kusudi mpaka babu nadondosha udenda mbele za watu? nyam nyam nyam........ I salute you Ashadii. You are the best cook in the world... I can swear if you ask.Unaonaje nikuandalie ugali wa unga wa mahindi ukichanganywa na wa unga wa ndizi kidogo...
alafu ni-stim nyama ya ng'ombe ilokua spiced na viungo
(pili pili manga, limao, garlic, vinegar, tangawizi, chumvi, binzari)
kisha baada ya hapo nipake mayai ikiwa katika special sticks tayari kwa kugrill..
nitahakikisha niandae veggies ya mboga ya maboga ya karanga
zilizosikinwa (acha za kutwangwa!!) nikirushia umo matunda damu
yalokomaa but hayajawiva vizuri... Na Babu sitasahau matunda...
saizi kipindi cha embe na tikiti pia... machungwa nitatengeneza juice
ilochanganywa na vanila flavour kwa mbaaaali....
Kama the above hutaki then niambie tuandae kingine....
BTW babu harusi yangu karibu inatangazwa...lol
We Mangi siku hizi imekuwaje? Unaulizia nywele saluni?Babu...huyu ni mjukuu ama!??
Wanna cook for someone else? Babu mwenye wivu kishapanda hasira.........aggggggrrrrrrrrr!Niambie chakula aina gani unapenda, wali, ugali au vyakula vya unga wa ngano??