Dah noma aiseee Kama vipi umeshaona umekula kwako Fanya mpango wawekee tu hicho cheti cha Avn mkuu kama umekidownloadDuuh Ahsante mkuu.. Isha kula kwangu maana chuoni sijakomboa cheti nadaiwa lakini nimeverify Nacte Kumbe chuo walipeleka taarifa zangu
Duuh Ahsante mkuu.. Isha kula kwangu maana chuoni sijakomboa cheti nadaiwa lakini nimeverify Nacte Kumbe chuo walipeleka taarifa zangu
Mkopo hawataki avn wanataka cheti cha Diploma tu afu kuomba Avn hakuna sehemu ya kuwekaa matokeo matokeo Yako yalishatumwa na chuo wewe ni kujaza taarifa zako kwa ukamlifu tu unapatiwa avnSamahan ndug zangu,naomba kuuliza kwa waliotoka diploma mwaka huu,kwenye kuomba mkopo inahitajika na AVN au n matokeo tu,,,,afu pia naomb kuuliza kwenye kuomba AVN unaweka matokeo ya mwaka wa mwisho au miaka yote
Avn ndio nini?Mkopo hawataki avn wanataka cheti cha Diploma tu afu kuomba Avn hakuna sehemu ya kuwekaa matokeo matokeo Yako yalishatumwa na chuo wewe ni kujaza taarifa zako kwa ukamlifu tu unapatiwa avn
Award verification numberAvn ndio nini?
hivi kwan avn number ni nini tena?Habari wakuu...
Naomba Kuuliza, kama nina AVN namba kuna umuhimu wa Kutumia Cheti cha Diploma Kuomba Mkopo elimu ya juu HESLB?
Ndugu unaweza nijuza jinsi ya kuandika reg number za cert na dip chuo cha cbe maana kila nikiweka zinaanzia na 01 na 02 zinakataaMkopo hawataki avn wanataka cheti cha Diploma tu afu kuomba Avn hakuna sehemu ya kuwekaa matokeo matokeo Yako yalishatumwa na chuo wewe ni kujaza taarifa zako kwa ukamlifu tu unapatiwa avn
Registration number ya chuo ni Ile Ile namba Yako ya form four mzee ila unaanza na NS Mfano NS1234/0123/2015Ndugu unaweza nijuza jinsi ya kuandika reg number za cert na dip chuo cha cbe maana kila nikiweka zinaanzia na 01 na 02 zinakataa
Hapo sijakuelewa mkuu, mfano reg number ya certificate na diploma tunarudia kuweka namba ya form four au unamaana gani?Registration number ya chuo ni Ile Ile namba Yako ya form four mzee ila unaanza na NS Mfano NS1234/0123/2015
Hicho nilichokuelekeza ndo unaweka namba Yako ya form four ila Anza na NSHapo sijakuelewa mkuu, mfano reg number ya certificate na diploma tunarudia kuweka namba ya form four au unamaana gani?