Wanaoshindwa kuomba open university online bila kufika tawin karibu nikusaidie pia wahitaji wa AVN NUMBER

Very poor

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
347
509
kama mada inavyojieleza wewe mwenye Nia yakujiendeleza kusoma chuo yaan open university na unakosa muda wakufika tawin Kwa ajili ya application, usijal nipo Kwa ajili Yako kukusaidia kuomba open university huko ulipo na mahali popote Tanzania, cha kuzingatia uwe na sifa zakusoma kozi husika nitakufanya application Kwa uaminifu mkubwa

Pia Kwa wale wenye uhitaji wa AVN NUMBER, naweza kuwasadia pia.
 
Back
Top Bottom