Award Verification number (AVN)-DIT & NACTVET

DavidsonM42

New Member
Jul 29, 2022
2
0
Habari wadau,

Ninatumaini kuwa mnaendelea vyema na Majukumu.

Mimi ni Mhitimu wa diploma idara ya Umeme katika taasisi ya teknolojia Dar es salaam DIT Mwaka wa masomo 2021/2022.

Ninawaandikia thread kuomba msaada na kufikisha Malalamiko yangu kuhusu kucheleweshewa au kushindwa kupatiwa Award Verification Number (AVN) inayotolewa na NACTVET, baada ya kuthibitishwa Matokeo ambayo yanawasilishwa na Chuo husika ili kuniwezesha kuendelea na Masomo ya Shahada ya Kwanza ( Bachelor Degree).

Ni Mwaka wa pili sasa tangu nmehitimu mimi nikiwa mmoja wa Wahanga na baadhi ya Wahitimu wengine. na tumekuwa tukifatilia suala la kupata AVN lakini mpaka sasa Hatujafanikiwa na madirisha yote ya udahili yameshafungwa na vyuo vimeshafunguliwa kuanza mwaka mpya wa masomo 2023/2024.

Tumekuwa tukienda NACTVET tunaambiwa turudi chuoni kuwaambia wawasilishe Matokeo yetu ili yaweze kuthibitishwa ( Verification). ili tuweze kupatiwa AVN.

Tukienda Chuoni tunaambiwa NACTVET Wamefunga system hvyo hawawezi kuwasilisha Matokeo na tunaambiwa tuvute subira mpaka watakapofungua system.

Baada ya kuzunguka Mara kadhaa Kwenda NACTVET na Chuoni, NACTVET waliamua kutuweka wazi kuwa walifunga system kwa sababu Chuo (DIT), kilichelewesha kuwasilisha Matokeo yetu kwa ajili ya Verification.

Baada ya kuwauliza chuo idara ya Electrical walikiri kuchelewesha kuwasilisha Matokeo yetu NACTVET na kusema kuwa waliandika barua kuomba kufunguliwa system, barua ambayo mpaka sasa haijajibiwa na hawajui ni lini itajibiwa na wala itajibiwa au haitajibiwa.

Tukaenda NACTVET nao kuwauliza kuhusu hiyo barua, wakakiri kweli wameipokea hiyo barua ila wataamua wenyewe waijibu au wasiijibu. (Itategemea na watakavyojisikia).

Kiukweli tunakosa msaada hatujui tufanye nini, kosa la chuo lakini Adhabu tunabebeshwa sisi tusio na hatia yoyote.

Tunaomba Msaada katika hili, kiukweli linatuumiza sana tunabaki, tukiwa hatuna cha kufanya Mda unazidi kwenda bila matumaini yoyote, Tunaomba mtusaidie kufikisha malalmiko yetu Kwenye Mamlaka husika tuweze kupata AVN, Tuendelee na Masomo kama wengine walivyoendelea.

Tunawshukuru sana kwa muda wenu, na tunatumaini mtatusaidia kupaza sauti katika hili.

Kwa Niaba ya Wenzangu Ninatanguliza Shukrani zangu za dhati.
Ahsanteni Wadau

Mhitimu/Mhanga-DIT
 
Omba audiene na Rutayugwa CEO wa NACTEVET! Ikishindikana nenda kwa waziri husika au lastly vyote vikishindikana wapeleke mahakamani ukiomba mahakama iwalazimishe NACTEVET and Chuo kutoa matokeo and AVN
  1. Mandamus:​

    Literal meaning of Mandamus is 'we command.' This type of writ is used when a public official or public body or corporation or lower court or tribunal or even the government has not done the needed duty or refused to do. After this writ is issued, the duty needs to be resumed.

    Grounds for Mandamus:​

    1. Petitioner must have a right recognized by law
    2. Infringement of the right must be done,
    3. Petitioner must demand the authority to perform the duty and non-performance of the duty must be present,
    4. Other remedy must be absent,
    5. Petitioner must prove that a duty is owed to him and authority has not performed the duty,
    6. The non-performed duty must be mandatory duty, etc.
    7. Example:
    Apeksha has a right to live life with dignity. And Electricity board has a duty to provide her electricity but the board intentionally didn't provide her with the electricity and refused to do the duty. Apeksha filed a suit and by issuing the writ of Mandamus, court ordered the board to supply the electricity to Apeksha.
  2. waone mawakili ikilazimika kufika huko
 
Ok, ahsante kwa Ushauri ndugu.
Apa naona niwaone tu Mawakili.
 
Issue ya avn inatia kichefu chefu kila mwaka tatizo hili hujitokeza. Naamini kuna haja ya nactvet na wizara wakae pamoja na walitatue jambo hili. Vyuo navyo vishirikishwe.
Kuwe na adhabu kali kwa vyuo vinavyo chelewesha kupeleka matokeo. Nactvet inaelekea ina usimamizi mbovu wa jambo hili na mengine mf. kuwa na vyuo au programs zisizo sajiliwa ( tumesikia decca dodoma, jana niliona kuna chuo nafikiri huko uyole mbeya). Kwa mtindo huu hatuta fika.
 
Back
Top Bottom