Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,012
- 1,427
Inanifanya niweze kuelewa vitu vingi sana. Pia nilisoma Odinary diploma nilishia NTA level 4 ila Mpaka leo sijapata kujua inanisaidiaje. Na nyie naomba mtoe ushuhuda kua diploma au A level inakupa faida gani kubwa?