Id mbichi ni tishio unaweza kuta ni mkongwe umuTatizo mnakuja na ID mbichi kabisa
Dada kale ka id kako za zamani kwanini umekaachaKichwa habari kimejieleza ,endapo mwenye uhitaji Kama mimi anaweza nitafuta kwa mazungumzo Cha msingi kupendana na eshima
Mengine tutaambiana inbox
Changamkia fursa komredi.Dada kale ka id kako za zamani kwanini umekaacha
SureId mbichi ni tishio unaweza kuta ni mkongwe umu
Hata mimi sijui mkuuI'd ndo nini
Ngoja niwahi PMduuuu kama naokota embe dodo kwenye mchongoma vile 😛😛😛
Kichwa habari kimejieleza ,endapo mwenye uhitaji Kama mimi anaweza nitafuta kwa mazungumzo Cha msingi kupendana na eshima
Mengine tutaambiana inbox
Changamkia fursa komredi.