Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,192
Kigezo cha mabinti kuwa mtu mzima mpaka afikishe miaka 18 sijui walikitoa wapi na utafiti gani ulitumika,sijui ni ile kukopi mambo ya wazungu.Hebu fikiria binti amemaliza la saba na miaka 12,mpaka aje afikishe miaka 18 ni miaka 6 na wala hakujiunga na kidato cha 1.Sasa hiyo miaka yote atakuwa anafanya nini nyumbani ,je ni kweli hao mabinti wanakuwepo nyumbani hawaolewi kinyemela,je hawazalishwi hovyo nyumbani? kuna maswali mengi sana kuhusu hii mada.Habar wanangu wa dhahabu kabisa
Nimeona tujadili kidogo kuhusu hii ishu uwenda ikawa ina changia kwa kiwango kikubwa kuwa na rundo la wanawake wengi mjini ambao wanasherekea birthdays kama ndoa na yote hii ni kwa kile kinacho daiwa kuwa waowaji hawapo
Nyakati zinabadilika kweli kweli siku hizi unakuta kitoto cha darasa la sita kimeisha vunja ungo miaka 12 tayari kimeanza kuhaha kutafuta wanaume
Mambo ya utandawazi na vitamthiria vya kikorea ndio vime wa halalishia kabisa kuwa ni sawa kuwa na mpenzi hata ukiwa shule
Picha linaanza unakuta mabinti wengi kufika miaka 24 ukimtizama tayari amesuguliwa mpaka ameota sugu kunako
Sasa hii inatufanya sisi wanaume kuona wivu ya kuwa siwezi kuwa na mwanamke ambaye amesuguliwa na wanaume zaidi ya 7 eti namimi nimuweke ndani haiingii akilini kiukweli
Na pia mtoto akimaliza form 4 hapo iwe ihari yake kuolewa sababu mfumo wa elimu yetu upo hovyo kwamba ukisema mtoto asome mpaka amalize chuo kisha apate kazi ndiyo aolewe basi miaka 30 itamkuta yupo kwa wazazi na akipata wa kumuoa basi jua lazima awe mke wa pili
TUACHE MABINTI KUANZIA 14 KAMA WANATAKA KUOLEWA WAOLEWE TU
Huu upepo wa KISULI SULI msiutegemee sana unavuma mara moja kwa karne
Ahsanteni