Ummesh
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 2,077
- 1,144
Ukomavu wa akili kwa wahusika unahitajika kwenye suala la ndoamie I believe maturity comes with age,if your partner change,it depends how old are you to accommodate that, in this case walioana wakiwa watu wazima wanaweza sana kuvumilia…….wanandoa vijana wanaona muda wanao...so kuvunjika ndoa is easily.....if you say age is nondeterminant,you might be right.we don't know statistics labda kuna ukweli...nikipata muda nitalitafuta,thanks.