HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Shikamoo BLAZA.Miaka 39 nasasa ndio nataka kuoa
BLAZA samahani.
Umebahatika kupata japo WATOTO?
Shikamoo BLAZA.Miaka 39 nasasa ndio nataka kuoa
Hii sio kweli kabisa. Katika vitu bora hapa maishani ni kuoa mapema na kwa mtoto wa kike ni kuolewa katika umri mdogo.
Hayo mengine ni matokeo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla sijaenda mtandaoni,niambie kwanini unasema sio kweli ?si kweli mkuu,
pitia huu mtandao.;http://time.com mtandao umejaa mambo mengi ila nilikua nataka uone hio chart mpendwa,thanks
Kwa maana hiyo wale walio ona katika umri wa makamo au mkubwa wamedumu sio ? Hapa unaweza kunipa matokeo ya utafiti juu ya hili ?sababu kuna cases nyingi watu wameoana wakiwa wadogo na wakaishia kuachana ...
nilitegemea kukuta kwa vile wenye umri mdogo watakua na time ya kujenga Maisha pamoja hivyo kukaa muda mrefu pamoja ndoani,ila hali nimeiona iko tofauti,statistics zinaonyesha wengi waliokuwa na ndoa at young age wanaachana kwa rate kubwa….
Je huo utafiti waliufanya kwa kuzingatia ndoa gani ? Je ndoa za kimila,ndoa za kidini au ndoa zisizokuwa za kidini ?sababu kuna cases nyingi watu wameoana wakiwa wadogo na wakaishia kuachana ...
nilitegemea kukuta kwa vile wenye umri mdogo watakua na time ya kujenga Maisha pamoja hivyo kukaa muda mrefu pamoja ndoani,ila hali nimeiona iko tofauti,statistics zinaonyesha wengi waliokuwa na ndoa at young age wanaachana kwa rate kubwa….
Kwa maana hiyo wale walio ona katika umri wa makamo au mkubwa wamedumu sio ? Hapa unaweza kunipa matokeo ya utafiti juu ya hili ?
Swali la pili,kwako wewe umri mdogo ni upi au una anzia wapi ?
Nina maswali mengi kuhusiana na huo utafiti,wa ila kwa kuokoa muda na kwenda sawa. Naomba unijibu maswali yangu hayo mawili kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
50-70 itafaa zaidi hii itasaidia kuzuia michepuko tena wengi kipindi kama hiki wanawaza jinsi ya kumaliza maisha yao. Kweli kuoa ni vizuri uoe wakati umepitia hata wanawake 200 ila mwanamke asubiri hadi miaka 50 Atunze bikira ya mume wake wakati mumuwe akifanya utafiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa.1.tafuta muda uingie mwenyewe mzigoni,kwa kifupi age ambayo ndoa hudumu ni watu wenye umri wa 28-32...below this ama above this age range inaongeza likehood ndoa kuvunjika...kama unapinga these findings uje na research yako kama vitu viko tofauti….yaani utuambie why ndoa za vijana actually zinadumu?
2.kujua age ninayofikiri inasaidia nini huu mjadala jamani?..mmmnh
mkuu kwa me yupo tayari kwa miaka 25?Me kuanzia 25-30
Ke kuanzia 18-25.
Hapo ni bila kujali vigezo vingine kama elimu,kipato nk nk
Mfano kigezo cha elimu inakuwa ngumu binti kuolewa akiwa na umri kuanzia miaka 18 kwani hapo bado anakuwa masomoni,binti akimaliza chuo akiwa na umri mdogo angalau anakuwa na miaka 21- 22,na kigezo cha kipato mfano kijana wa kiume atalazumika akimaliza chuo apate kazi ambayo itamfanya aweze kumudu gharama za maisha,sasa kama kamaliza chuo akiwa na 25 mpaka aje apate kazi yawezekana ikawa ni mapema ama akachelewa,tufanye kachelewa kwa miaka mitano sasa mpaka aje aoe si atakuwa na 30+?mkuu kwa me yupo tayari kwa miaka 25?
ukisema bila kujali vigezo vingine umemaanisha nini?
NimekuelewaMfano kigezo cha elimu inakuwa ngumu binti kuolewa akiwa na umri kuanzia miaka 18 kwani hapo bado anakuwa masomoni,binti akimaliza chuo akiwa na umri mdogo angalau anakuwa na miaka 21- 22,na kigezo cha kipato mfano kijana wa kiume atalazumika akimaliza chuo apate kazi ambayo itamfanya aweze kumudu gharama za maisha,sasa kama kamaliza chuo akiwa na 25 mpaka aje apate kazi yawezekana ikawa ni mapema ama akachelewa,tufanye kachelewa kwa miaka mitano sasa mpaka aje aoe si atakuwa na 30+?
Exaaaaaaaaaaaactly, na mwanaume ndiye anayeoa, mwisho wa kunukuu.Kwanza kabisa hakuna kuoana bali kuna kuoa au kuolewa!
Pili kuoa au kuolewa hakuna umri wala level yeyote ya kiuchumi bali ni utayari tu.
Sent using Jamii Forums mobile app