Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
Hello JF,
umri gani mliolewa/mlioa...
mna miaka mingapi ya ndoa?
are you happy and in control of everything that goes in your marriage...??
Nauliza yote haya sababu wanasema ukiolewa/ukioa katika umri mdogo kuna chances ndoa ika decline after 5 years...
Lol mnachokana mapema,
the more you get older ndio unakua wiser na ndoa kudumu...nimesikia tu mtaani nikaona nililete kwenu wapendwa