kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
Ukikutana na wa 50yrs na zaidi halafu upate hakuenjoy ujana mbona utajuta! Utamtamani kijana wa 20s I swear.
Ukienda huko kwa mwenye 50 wewe unataka kiinua mgongo tu na kuwa mjane...

Life span ya Bongo ikoje?
Kuna jamaa ana 45 yrs wadada wanamkimbia
Hiyo bado sijafanyia sana utafiti mkuu... but mke na mume wasizidiane zaidi ya 6 yrs