Umri wa kuoa ni miaka 30

Umri wa kuoa ni miaka 30

mazingira anayopitia mtu ndio umkomaza kufikia maamuzi ya kuoa hasa akishapata kipato cha kutosha, kwa maana hiyo sio lazima uwe zaidi ya miaka 30, wengine wameingia chini ya 30 na maisha yanasonga vizuri kabisa....
 
nakuunga mkono ... umesema vyema mwanaume akiwa china ya hapo anakuwa na shida akili bado inataka hili na lile... na kama anajitambua zaidi economically anakuwa kashajiset vizuri.. nikiwa na maana ameshatengeneza mazingira ya kupata income yake ya kila siku.... pia anaweza kuwa na asset moja au mbili ambazo anaweza kufanya maamuzi akiwa na kitu at least .... hata mimi siwezi kubali olewa na mtu under 30 mpaka afikishe 30 ndiyo aamue kuoa

Ni mpango mzuri...hivi mfano umedate na mtu akiwa na miaka chini ya hiyo unayoitaka na mkapendana haswaa,akaamua kutangaza ndoa na ukicheki anakama miaka 3 hivi ndo agote hiyo 30,utamwambia asubiri ama itakuaje hapo?
 
Ni mpango mzuri...hivi mfano umedate na mtu akiwa na miaka chini ya hiyo unayoitaka na mkapendana haswaa,akaamua kutangaza ndoa na ukicheki anakama miaka 3 hivi ndo agote hiyo 30,utamwambia asubiri ama itakuaje hapo?

Nitamwambia aubiri na nitampa sababu ya kufanya hivyo moja Wapo ni kuwa tuna mda wa kuburudika kabla ya kuingia kifungoni
 
Mi nakubaliana na wewe mkuu. Ila cha muhimu ni Ukomavu wa akili, Kujitambua ndo vitu muhimu. Na vijana wengi wanaooa wakiwa below 28 wanawasumbua sana wake zao. Mi naita wanakuwa na ndoa za uboyfriend na ugirlfriend.
 
1 THE. 4:3-5, 7-8
“Maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kutakaswa kwenu, mwepukane na uasherati;(uzinifu) kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima; si katika hali ya tamaa mbaya, Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso. Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.”

Uzuri mmoja hilo nalo lina sabuni na maji yake... ndio maana tunanawa kila siku
 
Nimetumia dakika kadhaa baada ya kuandika hii title nikiplan nianzeje huu uzi ili watu wanielewe. Hata hivyo nimegundua kuwa itakuwa ngumu sana, ingawa no ukweli.

Vigezo nilivyotumia kuwaza miaka 30 ni experience niliyo observe kwa ndugu, jamaa, marafiki na watu wengine ambao nimepata kufahamu mambo kadhaa kuhusu ndoa zao. Lakini pia experience ya mimi mwenyewe.

Najua mmeshajiuliza kwa mfano ni kwa nini katiba za mataifa mengi zinaweka kigezo cha umri (ambacho mara nyingi kiko juu kuliko kile cha kutambuliwa kama "mtu mzima") kwenye uraisi, na nafasi nyingine za kiutawala.

Sasa basi kwa mazingira ya kitanzania, na kwa uzoefu wangu katika mazingira hayo, mwanaume anayeweza kudili na "milima na mabonde" ya ndoa angalau kwa accuracy ya 60% (usiniulize kwa nini nimeweka cut point iwe 60), lazima awe amepevuka kiakili "sawa na mtu mwenye miaka 30".

Najua exceptional zipo (+ or -) kwa kuwa jamii iko normally distributed katika hili, na pia kwa kuwa umri sio kigezo pekee cha kupevuka kwa akili but all in all, majority ya wanaume wanakuwa matured enough (kiakili) kuweza kuoa na kuongoza vyema familia at 30.


usemayo ni kweli ila kwa life La kishenzi la bongo unakuta 18 yrs kaoa...

hata akona Dada hapa bongo wanaona 30 years wamechelewa wakati wenzao Wa ulaya ni tofauti...

Mi huwashauri Sana vijana angalau watimize 30 ndo waoe
 
Miaka 50?Makadirio ya kuishi ni miaka mingapi TZ?Unaanza kulea watoto na kiinua mgongo.Natafakari.
 
Oa ukiwa na vitu vitatu
1. Kiuchumi uko sawa kuendesha familia.
2. Kiakili uko sawa kukabili changamoto za ndoa
3. Umepata mwanamke sahihi wa kukusaidia kwenye 1 na 2

Haya yote hayategemei umri, ni tofauti ya mtu na mtu. Wengine hadi miaka 40 wanakuwa hawajafanikiwa kwenye 1 na 2, wakati wengine na miaka 20 washamaliza yote.
 
Back
Top Bottom