Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
miaka 30 kwa tz ndo umri mzuri wa kuoa kutokana na maisha na life span yetu
Nani alikudanganya??
miaka 30 kwa tz ndo umri mzuri wa kuoa kutokana na maisha na life span yetu
miaka 30 bado wasumbufu angalau miaka 50 ndio mambo yanakuwa yamewapungua
Life span ya Bongo ikoje?
Waliooa ndio wazinzi kuliko
Yaani pamoja na kuwahi kubalehe siku hizi , bado tu unataka watu wachelewe kuoa???
You're not serious!!!!
Kwa hiyo nimechelewa???
jitahiidi uwahi kufika bado huchelewa!!!
hapa umeongea kabisa mkuu kweli wengi waliooa ni wachafu na wazinifu kupita maelezo
bora ya wale wasiooa
Nani alikudanganya??
Uzinifu =uchafu?
If yes, justify
Upo tayari ili nisichelewe????
Bestito...kwani uzinzi ni uchafu?
Demba mama acha vituko!miaka 30 bado wasumbufu angalau miaka 50 ndio mambo yanakuwa yamewapungua
halafu anaongelea kubalehe gani? maana kuna kubalehe kwa mwili na akili!Hahahah...
Kubalehe ni kigezo cha mbali sana mkuu kwenye kuoa
Bestito wewe hufanyi huu UCHAFU?1 THESALONIKE. 4:3-5, 7-8
âMaana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kutakaswa kwenu, mwepukane na uasherati; kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima; si katika hali ya tamaa mbaya, kama Mataifa wasiomjua Mungu. Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso. Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.â