Umri wa kuoa ni miaka 30

Umri wa kuoa ni miaka 30

na akifikisha 40 kuoa ni shida vilevile.....
 
Maisha yenyewe mafupi utakufa hujaacha ukoo dunian kama kanumba na wengine
 
When you feel it's ok...just do it!!
 
Baba yangu aliozeshwa mke ambaye ni mama yangu akiwa na umri wa miaka 15, mama akiwa na 12
 
Na muolewaji je awe na umri gani kwa mujibu wa utafiti wako?
 
miaka 30 bado wasumbufu angalau miaka 50 ndio mambo yanakuwa yamewapungua

sana sana ww ndio utasumbuka kuhaingaikia haki ya sita kwa sita maana hao hawana kazi ya kutosha
 
Na muolewaji je awe na umri gani kwa mujibu wa utafiti wako?

Hiyo bado sijafanyia sana utafiti mkuu... but mke na mume wasizidiane zaidi ya 6 yrs
 
Baba yangu aliozeshwa mke ambaye ni mama yangu akiwa na umri wa miaka 15, mama akiwa na 12

Siku hizi za kuozeshwa zimepungua sana...
 
miaka 30 kwa tz ndo umri mzuri wa kuoa kutokana na maisha na life span yetu
 
mmmh, kwa mujibu wa nani?
Asprin aliniwowa akiwa.27, hadi leo tuko pamoja.

Na Matesha wetu ako sekendari hivi sasa.... kabla hatujastaafu watoto washapata vibarua
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom