Umri wa kuoa au kuolewa ni miaka mingapi?

Umri wa kuoa au kuolewa ni miaka mingapi?

Kisheria mtu wa jinsia ya kike anaweza hata akaolewa akiwa na miaka 14 kwa ridhaa ya mzazi au mlezi.

Mtu wa jinsia ya kiume awe na miaka 18 au zaidi.
 
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa Na. 5 ya 1971, kifungu cha 13(1), mwanaume anatakiwa kuwa na miaka 18 na mwanamke 15
 
Kuna elimu ya kuitambua NAFSI yako, wengi hawaelewi kuhusu hiyo.

Mara nyingi kumekuwepo na tabia ya kufanya maamuzi ya jambo lolote hata kama nasfi yako imekataa au kukubali, iliali umefuata mkumbo au mbona flani au mbona hivi.

Binafsi nakubaliana na kuifuata nafsi inachosema, maana ndiyo yenye uhamuzi wa mwisho kwa kila hatua unayoendea ktk maisha yako.

Hapo linapokuja suala la kuoa au kuolewa kumbuka walio kwenye dini ufanya maombi ili waonyeshwe, na wewe usiye kwenye dini nani atakuonyesha au kukulengesha?
Ndipo nasema angalia na isikilize nafsi 'utakuta siku, week, mwezi hata mwaka nafsi inakulazimisha ufanye jambo flani jema "**Nafsi yako aiwezi kukupoteza", japo wengi ughaili maamuzi ya nafsi na kufuata ushwawishi.
Furahatuu hili somo linawahusu watu wazima wenye kujitambua na kujielewa, si mtu atakayesimamiwa kufanya maamuzi.
 
Last edited by a moderator:
Usijilazimishe kuoa kama hujapata mpenzi wa kweli bila kujali umri ilimradi unaweza kumudu majukumu ya kifamilia. Ukilazimisha tu...utajuta maishani mwako. .hutaelewa raha ya ndoa iko wapi.

Umenena vema
 
Back
Top Bottom