Jana nilikuwa naangalia kuapishwa kwa Jaji Mkuu M.O. Chande kupitia TV. Kuna jambo nililioligundua kwamba ukiondoa kigezo cha mvi (ambazo hata EL anazo nyingi), jaji mkuu huyu mpya anaonekana kama ana umri mkubwa pengine kuliko hata Mh. Agustino Ramadhan anayestaafu. Profile linaonyesha atatimiza miaka 59 hivi karibuni, lakini muonekano halisi ni kwamba inawezekana either ana umri mkubwa zaidi ya huu alioonyesha au ana matatizo fulani ya kiafya. Kuna mtu mwingine ameliona hilo, au ni mawani yangu yalinidanganya?
ukubwa ndio wnye hekima. ndio maana hata papa (wakuu wa vatican) huwa wazeeJana nilikuwa naangalia kuapishwa kwa Jaji Mkuu M.O. Chande kupitia TV. Kuna jambo nililioligundua kwamba ukiondoa kigezo cha mvi (ambazo hata EL anazo nyingi), jaji mkuu huyu mpya anaonekana kama ana umri mkubwa pengine kuliko hata Mh. Agustino Ramadhan anayestaafu. Profile linaonyesha atatimiza miaka 59 hivi karibuni, lakini muonekano halisi ni kwamba inawezekana either ana umri mkubwa zaidi ya huu alioonyesha au ana matatizo fulani ya kiafya. Kuna mtu mwingine ameliona hilo, au ni mawani yangu yalinidanganya?
Usiingize mambo mengine tofauti hapa, kama hujui kaa kimya uangalie wengine wanasemaje! Na kama ukubwa ndio hekima, basi Augustino Ramadhani asingelazimika kustaafu!ukubwa ndio wnye hekima. ndio maana hata papa (wakuu wa vatican) huwa wazee
Ndio vigezo wanavyovitumia wenzetu kama wote mna usomi sawa kwa hiyo aliembele ki miaka ana experience zaidi na kakutana na matatizo mengi ya kisheria na kimaisha hivyo by commonsense ni better candidate through experience its one of the proffesion world wide were the aged are favoured.Usiingize mambo mengine tofauti hapa, kama hujui kaa kimya uangalie wengine wanasemaje! Na kama ukubwa ndio hekima, basi Augustino Ramadhani asingelazimika kustaafu!
Nadhani hukuelewa mchakato ulivyokuwa. Si kwamba nawalinganisha kwa vigezo vya elimu, ila ni kwamba mmoja anastaafu na mwingine anachukua nafasi ya mstaafu. Sasa hoja hapa ni kwamba anayestaafu anaonekana younger na mchangamfu kuliko anayechukua madaraka.Ndio vigezo wanavyovitumia wenzetu kama wote mna usomi sawa kwa hiyo aliembele ki miaka ana experience zaidi na kakutana na matatizo mengi ya kisheria na kimaisha hivyo by commonsense ni better candidate through experience its one of the proffesion world wide were the aged are favoured.
I can vouch for judge Chande's age. We went to the same school and he was 3 classes behind me. He just aged faster after he was sent to East Timor. When I saw him after he got back I was a bit shocked. But he looks much better today.
Mohamed Chande Othman has aged very fast , nadhani sababu ya majukumu. !! Tulisoma wote Tanbaza na mimi mpaka sasa bado yankee nadunda hata mvi moja sina kichwani!!
hoja yako ina mapungufu fulani kama ukifuatilia maisha ya makuzi ya watanzania yametofautiana kutoka familia moja hadi nyingineNadhani hukuelewa mchakato ulivyokuwa. Si kwamba nawalinganisha kwa vigezo vya elimu, ila ni kwamba mmoja anastaafu na mwingine anachukua nafasi ya mstaafu. Sasa hoja hapa ni kwamba anayestaafu anaonekana younger na mchangamfu kuliko anayechukua madaraka.
Asante mkuu. Naona Ndinani naye alisoma Tambaza. Itabidi tufanye school reunion siku moja.Jasusi kumbe umekula chumvi hivyo. Shikamoo kaka.
Mohamed Chande Othman has aged very fast , nadhani sababu ya majukumu. !! Tulisoma wote Tanbaza na mimi mpaka sasa bado yankee nadunda hata mvi moja sina kichwani!!