Huo ndio umri wake sahihi.. Hatujapishana sanaWakuu, nilikua nimechill na jamaa yangu hapa tunajiuliza huyu Gwiji atakua na umri gani kutokana na muonekano wake. Sisi tulidhani anaweza kuwa kwenye 46 yrs.
Ikabidi tuingie Google tukakutana na hii kwamba ana Umri wa miaka 55.
Je, Ni kweli kwa wale wanaomjua au ni Google imeingia chaka?
Ni swala la kutaka kujua mambo tu Nothing Personal
View attachment 3406236
Hapasongeki chochote maninaaa๐๐Mtu mzima kamwaga mboga, kazima moto, katoboa na sufuria.....
Mtu mzima kamwaga mboga, kazima moto, katoboa na sufuria.....
Ahahaha. Hatari.Mtu mzima kamwaga mboga, kazima moto, katoboa na sufuria.....
Sio kweli.Huo ndio umri wake sahihi.. Hatujapishana sana
Na unga ameweka mchangaMtu mzima kamwaga mboga, kazima moto, katoboa na sufuria.....
InategemeaSio kweli.
Leo nilikuwa na mwalimu wake wa F3, mwalimu ana miaka 52
Akipunguza totozShikamoo kaka mkubwa ๐
Huyu Polepole atazeeka kama Mzee Kingunge alizeeka bila kudhoofika haraka kimwonekano
Halafu kalala hivi ole wako umguseMtu mzima kamwaga mboga, kazima moto, katoboa na sufuria.....
Loh. ๐Hahahaha! Mbona anaonekana mtu mnoofu sana asiye na hizo Fujo
Haumezi wala hautemi๐๐๐Hapasongeki chochote maninaaa๐๐
Haina shida, maswali ya umri haukusoma? Umri wa mwanafunzi ni mara moja na nusu ya umri wa ticha, kama ticha ana 52, tafuta umri wa polepole ๐Sio kweli.
Leo nilikuwa na mwalimu wake wa F3, mwalimu ana miaka 52
Ina maana mwanafunzi ni older kuliko mwalimu wake?Haina shida, maswali ya umri haukusoma? Umri wa mwanafunzi ni mara moja na nusu ya umri wa ticha, kama ticha ana 52, tafuta umri wa polepole ๐
Ndio labda wenzie wanaanza shule ye alikua anachunga mbuziIna maana mwanafunzi ni older kuliko mwalimu wake?