Umri upi mzuri kuanza kupaka makeups?

Nadhani haina umri,ila sio nzuri kwa watoto
Umuhimu wa makeup ni pale ngozi inapokua haifanani complexion /rangi au km una makovu ya pimples hivo vtu km foundation znakusaidia kukupa mwonekano unaofanana,wanja unakupa nyusi zilizojaa kdogo km una chache,wasio na shida hzo nadhani lipstick tu yawatosha
Kiujumla don't overdo it
km foundation ndo wanasema znazeesha ngoz. cjui km kwel
 
Makeup bwana zinawafanya kina dada walie kizungu yaani analia kwa uchungu ila ana-concetrate na kufuta machozi yasifike kwenye mashavu, Anakula chakula cha mafuta ila anafuta lips taratibu kama vile anakidonda ili asitoe zile marangi....Pakiwa na jua hatembei kabisa heri achelewe kuliko kutmbea juani maana jasho likitoka na kumwagika usoni atakuwa zebra...Mvua sasa ikinyesha ndo balaa..Hahahahahahah.
hahahaaaa! ni kweli na ni vituko sana!
Mke wako nae yumo???
 
Makeup bwana zinawafanya kina dada walie kizungu yaani analia kwa uchungu ila ana-concetrate na kufuta machozi yasifike kwenye mashavu, Anakula chakula cha mafuta ila anafuta lips taratibu kama vile anakidonda ili asitoe zile marangi....Pakiwa na jua hatembei kabisa heri achelewe kuliko kutmbea juani maana jasho likitoka na kumwagika usoni atakuwa zebra...Mvua sasa ikinyesha ndo balaa..Hahahahahahah.
Kumbe huwa unajificha kwenye hili Jukwaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom