Umri unachosha

Hata ukifa hutakiwi kuacha, Mm nimeanza kupiga nyeto tangu nikiwa kama bao la mzee baba 😎
 
Hakuna umri sahihi ila age ya utoto fanya kitoto zaid, age ya ujana fanya ya ujana, age ya utu uzima fanya ya utu uzima kikubwa ishi unavyotaka bila kuvunja sheria za asili na nchi
 
Yaani unacheza ligi moja na mjukuu au kitukuu chako 😁. Sasa kama ni hivyo kwamba unaweza kufanya chochote katika umri wowote mtoto nae anaweza kufanya mambo tunayoyaita "ya kikubwa" mfano kijana wa miaka 13 aamue kuoa ni sawa?
Mtoto hajafikia umri wa kujua afanye lipi na aache lipi na ni nini matokeo (end results) yake. Mtoto wa 13 yrs kwanza hata wazo la kuoa kwake ni kitu kigeni na taratibu za kuoa hazijui -yaani hajafikia Hatua (stage) ya Umri wa Hitajio hilo.
Katika mzunguko wa ukuaji wake; atafikia Umri ambao hata bila kuambiwa yy mwenyewe atahitaji Kuoa/Kuolewa. Ni mzunguko wa Ukuaji katika maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…