Utakuwa umejipotosha mwenyewe kwani wapo waliokutangulia kuyaishi hayo maisha kabla yako. Kwa kutumia uzoefu wao (Experience) walionao inakupasa (japo sio lazima) usikilize Ushauri wao na kuutendea kazi. (Don't learn through the hard way - kama vile mtoto mdogo unamkataza asishike moto lakini yy anang'ang'ania huwa ni busara unamwacha na akiungua ni mara moja tuu hatokaa tena arudie kushika moto -amepata uzoefu(Experiance)Kwahiyo kwakuwa ni hatua mpya tunaweza vyovyote tunavyojiskia katika umri wowote ?
Hata zaidi ya 80+Kwahiyo hata nikiwa na miaka 47 ni sawa kufanya punyeto!
Yaani unacheza ligi moja na mjukuu au kitukuu chako 😁. Sasa kama ni hivyo kwamba unaweza kufanya chochote katika umri wowote mtoto nae anaweza kufanya mambo tunayoyaita "ya kikubwa" mfano kijana wa miaka 13 aamue kuoa ni sawa?Hata zaidi ya 80+
Nikilala Bar namkosea Yesus, au Muddy na jamii itaanza kuniiita "irresponsible idiot"We ishi tu unavyoona kwako ni sahihi, ata ukiamua kulala bar sawa tu, muhimu usivunje sheria.
Hajawahi kushuhudia, pia haki yake Nampa ipasavyo 100%Ndoa zina mengi kweli 😁, yaani umemchukua mtoto wa watu kutoka kwao tena pengine kwa mkopo ili aje kushuhudia unyetukaji wako!
Aisee wengine tutaishi kwa taabu sana humu dunianiI know, crushie 😊
Hakuna time frame ya utoto mkuuYaani unacheza ligi moja na mjukuu au kitukuu chako 😁. Sasa kama ni hivyo kwamba unaweza kufanya chochote katika umri wowote mtoto nae anaweza kufanya mambo tunayoyaita "ya kikubwa" mfano kijana wa miaka 13 aamue kuoa ni sawa?
Apparently no one cares mpaka pale utapokuwa kituko. Kwa mfano binti aolewe leo, aachike baada ya siku nne na chanzo ni mmewe kumkuta anafanya punyeto. Hapa nani ataona aibu ?Tuko zaidi ya billion 7 who cares about you?siku hizi wanasema kbs Aibu utaona wewe so ishi,kufa basi the rest utajuawewe na Mungu sasa hatuhusiki na maisha wala kifo chako
Apparently no one cares mpaka pale utapokuwa kituko. Kwa mfano binti aolewe leo, aachike baada ya sike nne na chanzo ni mmewe kumkuta anafanya punyeto. Hapa nani ataona aibu ?
Fikiria unamkuta babu yako kajifungia labda bafuni anafanya hivyo, unadhani utaendelea kumheshimu kama hapo awali?Hakuna time frame ya utoto mkuu
Puchu hata mzee wa miaka Mia anapiga
Kama huna mke au mpenziwa uhakika huwezi kuikwepa punyote we huoni ma video ya mademu instagram yanavyotia nyege yaani ukikaa ndani mwenyewe kwa siku unaweza kupiga punyeto mara nne all in all ni salama kbs ukishakuwa na mke unapunguza kwa 70% mimi ni shuhuda wa hilo
Mkuu!, mara nne kwa siku kichwa (cha juu) hakiumi?Kama huna mke au mpenziwa uhakika huwezi kuikwepa punyote we huoni ma video ya mademu instagram yanavyotia nyege yaani ukikaa ndani mwenyewe kwa siku unaweza kupiga punyeto mara nne all in all ni salama kbs ukishakuwa na mke unapunguza kwa 70% mimi ni shuhuda wa hilo
kama makamu naibu mwenyekiti muenezi wa CHAPUTA kanda maalumu ya Dar es salaam na taifa kwa ujumla mheshimiwa ndugu Mbaga Jr alivyotangulia kusema kuhusu nyeto ni kuwa haina umri wa kuacha, cha kufanya ni kupiga nyeto mpaka siku unaingia kaburini.Wananzengo habarini za weekend. Nimekaaa nikatafakari namna jamii inavyotarajia tuishi tangu utotoni mpaka uzeeni, kwa maana ya kwamba kwenye kila hatua ya ukuaji wako kuna mambo unatarajiwa kufanya au kutofanya, kuwa nayo au kutokuwa nayo.
Kwafano mtu mzima anaweza kufanya kitu akaambiwa "ni utoto akikua attacha", hii ina maana kwamba mtu mzima hakosei au vipi?
Au nikifanya punyeto sasa hivi na umri huu wa miaka 31 ni sawa kwa maadili ya kitanzania au imekaaje!
Sasa naomba kuuliza kwa mazingira ya kitanzania upi ni umri ambao unakubalika ukifanya au kuwa na yafutayo ama ukifanya au kutofanya katika umri flani utaonekana kituko. Naomba nianze na haya;
-Umri wa kumaliza masomo
-Umri wa kuacha punyeto
-Umri wa kuanza kunywa pombe
-Umri wa kuwa na kipato cha uhakika
-Umri wa kuoa/kuolewa
-Umri wa kuzaa
-Umri wa kujenga nyumba yako
-Umri wa kumiliki ka-usafiri kako
-Umri wa kuacha kushabikia wanawake wenye matako mengi
-Umri wa kufa.
Ni mentality tu mkuuFikiria unamkuta babu yako kajifungia labda bafuni anafanya hivyo, unadhani utaendelea kumheshimu kama hapo awali?
Mkuu , heshima is earned maana yake haiji bure lazima uifanyie kazi, na ukizingua pia inaondoka zakeNi mentality tu mkuu
Kwani heshima ina limits? Za matendo ya mtu?
Huishi kwa ajili ya watu, unaishi kwa ajili yakoNikilala Bar namkosea Yesus, au Muddy na jamii itaanza kuniiita "irresponsible idiot"
Kwanini haswaa ! Punyeto nadhani mnaipa umuhimu mkubwa isiokuwa naokama makamu naibu mwenyekiti muenezi wa CHAPUTA kanda maalumu ya Dar es salaam na taifa kwa ujumla mheshimiwa ndugu Mbaga Jr alivyotangulia kusema kuhusu nyeto ni kuwa haina umri wa kuacha, cha kufanya ni kupiga nyeto mpaka siku unaingia kaburini.
Asante.
Yet, nikifanya vile nataka watu hao hao watafanya maisha yangu yawe magumu zaidi. Au ni mimi tu nyie wenzangu mna mbinu za kuweza kuishi bila kutegemea au kuchangamana na watu wengine kabisa !Huishi kwa ajili ya watu, unaishi kwa ajili yako