Umri unachosha

huanzia kwenye sehemu ya mduara inayopatikana kwenye +x axis
Umesahau pale penye +y axis. Lakini nilitegemea ujikite kwenye ule mchoro (circumscribing line) ya nje inayokuwezesha kusema umbo hili ni mduara sio mraba/mstatili au pembe tatu au vinginevyo.
Hata hivyo naomba nikomenti kama ifuatavyo: Kwamba kila Hatua ya Kiumri unayopiga ni Hatua Mpya kabisa kwako ww. e.g. Ulikuwa haupo mara paap' Ukajikuta upo ni mtoto hujitambui unalialia na kunyonya maziwa ya mamayako amabaye naye hukumjua. Umekua (growth) ,umejitambua ww ni kiumbe mtu miongoni mwa wale unaofanana nao, umeendelea na kila siku ni siku mpya kwako n.k. n.k. hadi unakuwa mzee; uzee ni kitu kipya kwako kwani umekuwa ukiwaona tu watu wazee lakini hujajua uzee inakuwaje n.k. hadi unakufa na hicho kifo ni kitu kipya kwako na utakufa mara moja tu - na sio mara mbili ili eti uje kuuliza wenzako ilikuwaje hadi nikafa. Thats ur Life cycle. Ni hayo tu.
 
Kwahiyo mkeo akisafiri badala umwombee mabaya yasimkute wewe unaamua kunyetuka, kweli!
La Hasha. Matamanio (Ashki) ikizidi, badala ya kutenda kosa la Kuzini(Uzinzi)
unafanya hilo kama njia mbadala. Lakini hata hivyo bado unaweza kuwa mvumilivu na sio kila unapokuwa na hamu - ni lazima kujitawala na kuutiisha mwili wako ambalo ni Hekalu la Roho Mtakatifu - kwa mujibu wa wale wa Imani ya Kikristo.
 
Mkuu kwamba mkeo anashindana na kiganja chako kama mchepuko! Au sijakuelewa vizuri ? Na je mkeo anakuruhusu ufanye punyeto! Huoni kama ni kama tusi kwake?
Hakuna ushindani hapo, n kila kitu kipo kwenye nafasi yake
 
Kwahiyo hata nikiwa na miaka 47 ni sawa kufanya punyeto!
 
Mkuu muda mwingine inakubidi uwe makini hata kama maisha ni yako. Mfano wewe mwanao afikishe miaka 33 bado anakutegemea wewe kwa kila kitu, utamfurahia au utakuwa unamvumilia kwa vile ni mwanao!
Kwenye uzi wako umeweka hoja nyingi,huo mfano wako ni hoja moja tu,

Mimi comment yangu imebase zaidi kwenye hizi hoja ulizozisema;

Umri wa kuacha punyeto
-Umri wa kuanza kunywa pombe
-Umri wa kuwa na kipato cha uhakika
-Umri wa kuoa/kuolewa
-Umri wa kuzaa
-Umri wa kujenga nyumba yako
-Umri wa kumiliki ka-usafiri kako
-Umri wa kuacha kushabikia wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…