Ahsante, ulianza kujihusisha na masuala ya mapenzi ukiwa na umri gani!pole
duh ni muda sana mpka nishasahauAsant, Ulianza kujihusisha na masuala ya mapenzi ukiwa na umri gani!
Hawawezi kukosekanaHHahhaha hivi watu walio kwenye ndoa wanapiga punyeto?
Okay, do you consider yourself an expert or seasoned?duh ni muda sana mpka nishasahau
badilisha lugha tuelewane mkuu mi sijasomaOkay, do you consider yourself an expert or seasoned?
Ni kweli mkuu, ila kuna hii tabia ya watu kuhusianisha maisha yako pamoja na mafanikio yako na umri wako. Au watu wanaanza kukulinganisha na age-mates wako nk.Kwani kuna fomula ya maisha? Bongo unaweza ukamaliza chuo na miaka 23 lakini ukapata kipato cha uhakika ukiwa na miaka 40 baada ya kupigika sana mtaani. Hivyo vitu havina umri.
Sasa umeoa mke wa kazi gani kama bado unanyetuka!Umenifurahisha sana hapo kwenye upigaji nyeto, hakika umebarikiwa ww na kizazi chako kijacho.
Zingatia, usiache kupiga nyeto kwani ndio mkombozi wa maisha yako katika kujiepusha na magonjwa pamoja na matumizi ya ovyo ya pesa 😎
Nikifika umri gani unanioa twin 😅😅🤣Kwani kuna fomula ya maisha? Bongo unaweza ukamaliza chuo na miaka 23 lakini ukapata kipato cha uhakika ukiwa na miaka 40 baada ya kupigika sana mtaani. Hivyo vitu havina cha umri.
Tukiachana na elimu , mfano binti akizaa akiwa na miaka 15 sehemu kubwa ya jamii sikuhizi haitofurahia sana kitendo hicho kwa maana ya kwamba kuna umri ambao inakubalika akifanya hivyo. Sasa nataka nifahamu umri huoKwani kuna fomula ya maisha? Bongo unaweza ukamaliza chuo na miaka 23 lakini ukapata kipato cha uhakika ukiwa na miaka 40 baada ya kupigika sana mtaani. Hivyo vitu havina cha umri.
Mamb 🤣🤣duh ni muda sana mpka nishasahau
poaa za wew vipi murembooo😊Mamb 🤣🤣
Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi. Hivi naomba nikuulize kaswali kadogo ili nijue namna nzuri zaidi ya kucoment kwenye mada yako nzuri hii.Wananzengo habarini za weekend. Nimekaaa nikatafakari namna jamii inavyotarajia tuishi tangu utotoni mpaka uzeeni, kwa maana ya kwamba kwenye kila hatua ya ukuaji wako kuna mambo unatarajiwa kufanya au kutofanya, kuwa nayo au kutokuwa nayo.
Kwafano mtu mzima anaweza kufanya kitu akaambiwa "ni utoto akikua attacha", hii ina maana kwamba mtu mzima hakosei au vipi?
Au nikifanya punyeto sasa hivi na umri huu wa miaka 31 ni sawa kwa maadili ya kitanzania au imekaaje!
Sasa naomba kuuliza kwa mazingira ya kitanzania upi ni umri ambao unakubalika ukifanya au kuwa na yafutayo ama ukifanya au kutofanya katika umri flani utaonekana kituko. Naomba nianze na haya;
-Umri wa kumaliza masomo
-Umri wa kuacha punyeto
-Umri wa kuanza kunywa pombe
-Umri wa kuwa na kipato cha uhakika
-Umri wa kuoa/kuolewa
-Umri wa kuzaa
-Umri wa kujenga nyumba yako
-Umri wa kumiliki ka-usafiri kako
-Umri wa kuacha kushabikia wanawake wenye matako mengi
-Umri wa kufa.
Salama lolo 😊poaa za wew vipi murembooo😊
Je, unajiona wewe ni mtaalamu au mwenye uzoefu mkubwa kwenye hiyo sekta!badilisha lugha tuelewane mkuu mi sijasoma
sijakua kitu😄😄,, Kwani nina dalili za kuchanganyikiwa? 😥Salama lolo 😊
Hivi umekuaje lakini 🤣