Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Kwani hata yule jamaa wa magogoni haumwi kichaa?<br>kabla sijasahau, yule aliyesema "Pemba, Zimbabwe na Tanganyika zimeunda Tanzania mwaka 11964" naye hakuugua magonjwa ya akili?
Ugonjwa wa akili??????
salaaale!!
La kuumwa ugonjwa wa akili ni kweli kabisa....
Halafu nasikia yule makamu wake ni chakula cha beno, beno ndiye alimpigia chepuo hadi akachaguliwa
Yaani huyo mdada eti amepita kutokana na kutoa rushwa ya ngono hata shigela ne pia anammega.
dada noma kweli yaani kawachanganya wot 2.
safi sana mdada ure fighter, umeweza tumia vizuri kiungo ulichopewa bure na Mungu
Kati ya wote tuliochangia hapa, hakuna anayefahamu cv ya huyo ndugu. Nikiwa na maana ya umri wake halisi, shule alizopitia, kazi alizowahi kufanya na maisha yake ya kisiasa kwa ujumla. Hayo ndio mambo ya msingi ambayo tungeyajadili. Otherwise ni bora thread ifungwe.
Teh teh ,anawezza akasahau kwenye mkutano wa ccm akasalimia kwa peopleeeeeeeeeeees power.duh sasa ka ugonjwa kake ka kupoteza network kakimrudia akiwa jukwaani si anaweza akavua nguo
Halafu nasikia yule makamu wake ni chakula cha beno, beno ndiye alimpigia chepuo hadi akachaguliwa
Yaani huyo mdada eti amepita kutokana na kutoa rushwa ya ngono hata shigela ne pia anammega.
dada noma kweli yaani kawachanganya wot 2.
safi sana mdada ure fighter, umeweza tumia vizuri kiungo ulichopewa bure na Mungu
.......inategemea na ulivyoelewa, na hiyo si shauri yangumbona wewe ni km ndumilakuwili?
Teh teh ,anawezza akasahau kwenye mkutano wa ccm akasalimia kwa peopleeeeeeeeeeees power.
Bora mimi niseme ukweli, miaka yangu ni "onescore and halfscore point four"Haya mambo ya umri kwenye hivi vyama vyetu ni kizungumkuti. Kila asiye na madaraka makubwa bado ni "kijana" wewe unadhani kweli Heche hajafikisha miaka 35 inayomtaka aachie uongozi wa BAVICHA!?
Wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi kuumwa ugonjwa wa akili akiwa jeshini hali iliyofanya apumzishwe kwa manufa ya umma, tafadhali mwenye taarifa sahihi juu ya hayo atuwekee kwa ufafanuzi zaidi
mleta mada amesema kuwa mwenye taarifa sahihi atujuze kwani kuna kosa gani hapo mkuu.Kwa nini wewe ukaweka ilihali unajua huna taarifa kamili? acha kuwakashfu watu bila sababu. ingefaa ungeuliza mwenye kujua umri na historia ya mtajwa mpaka anaacha jeshi
mleta mada amesema kuwa mwenye taarifa sahihi atujuze kwani kuna kosa gani hapo mkuu.