Umri umefikia, natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela

So kwamba tunahtaji hizo pesa za wanawake,tunahitaji usawa mnao utaka hyo wa fifty fifty.kwahyo usawa kwenye pesa hakuna?,au ni vibaya kuwa na mwanamke kwenye pesa???


Mleta mada kaandika mapenzi hayachagui wala hayabagui...kwanini abague mwanamke asiye na pesa?ama hata uzi hujausoma?

Halafu hakuna nilipoandika ni vibaya wala sijaandika kuhusu usawa,rejea comment yangu
 
Nahitaji mwanamke wa kuoa maana nipo mpweke sana na nahitaji mtu ambaye tutaishi naye ili kujenga familia na kuwa na watoto kwaajili ya maisha ya baadaye.

Naomba kuwasilisha....
naegemea kipande hiki ndugu , kusema unahitaji mke kwa sababu uko mpweke ni kama unajiongopea ndugu yangu!
unaweza kuwa ndani ya ndoa ukawa mpweke kuliko unavyotarajia na nmna yakufanya hautakuwa nayo tena.
nazungumza hivyo kwa sababu mimi nina ushahidi wa hilo ndugu.
ndoa haihitaji kikisingizio chochote ili iwepo, sijui upweke ama kuongeza familia ,kupata watoto ,ama furaha ama kupata wepesi wa maisha au kuongeza kipato nknk, ukitumia sababu hizo kuingia kwenye ndoa utakutana matokeo yalio tofauti na matarajio.

tulia kwanza, fanya upembuzi yakinifu, jipange, tena jipange haswa, hakuna namna utakayo kwepa majukumu kama mwanaume hata kama huyo mwanamke angekua na hela kiasi gani! kwanza sijui kama wanawake unawajua vizuri ndugu yangu, hela yao haliwi na mwanaume!
utanyanyasika mpaka uombe poo!!!

jipange , maana utafika kipindi mpaka ngua ya ndani utashindwa kununua brother!

japo najua badiko hili haumaanishi lakini ukweli ndoa nikama hivyo nakuzidi, lakini pia inaweza kuwa kinyume chake, kila jema.
 
Mleta mada kaandika mapenzi hayachagui wala hayabagui...kwanini abague mwanamke asiye na pesa?ama hata uzi hujausoma?

Halafu hakuna nilipoandika ni vibaya wala sijaandika kuhusu usawa,rejea comment yangu
Hakuna nlipo bagua MTU kwa jinsi yake rejea utaelewa
 
Nimeandika mleta mada kaandika,wewe ndio mleta mada?
Me mchangiaji
IMG_20200822_001834.jpg
 
Jurjani ulisema mwanamke hatakiwi kufanya kazi lakini unaona vigezo vyenu ili mtuoe mnataka tuwe na kazi (fedha).
Huo siyo uanaume sasa. Hapo kuna tatizo.

Ngoja nikupe faida kidogo, kwa kawaida mwanamke huolewa kwa moja ya sifa hizi :

1. Nasaba yake.
2. Uzuri wake
3. Mali yake
4. Nafasi yake

Ila tukaambiwa katika yote hayo kilicho cha msingi ni Dini yake kwa maana ya tabia njema, kwani kwa kufanya hivyo, mikono yako haitashika mchanga.

Mwanamke anaruhusiwa kumiliki Mali na wapo wanawake wenye mali, na mali wanazipata si kwa kukiuka sheria, wapo wenye mali za kurithi na mfano wake. Lakini mali ya mwanamke kuitoa kwa ajili ya familia si lazima mpaka atake yeye, na huruhusiwi kumuuliza kwanini hajatoa mali yake kuihudumia familia.

Kwa uchache tosheka na maelezo haya mafupi.

Nipo ....
 
Sitaki kupoteza muda maana kichwa cha habari kinajidhihirisha.

Natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela. Najua wapo wa kunipinga na wengine wapo wa kunishauri kuwa eti "nitafute pesa ili nipate mwanamke wa kuheshimu".

Kwa mawazo yangu na ukweli niujuao ni kwamba, "mapenzi hayachagui wala hayabagui".

Natafuta mpenzi mwenye pesa maana kwa idea nilizonazo endapo tu nipata mwanamke mwenye pesa basi nitaongeza kipato chake mara mbili zaidi ya pesa alizonazo. Kama hutaki kuamini basi wewe dada nitafute PM na uwe serious kama nilivyo.

Nahitaji mwanamke wa kuoa maana nipo mpweke sana na nahitaji mtu ambaye tutaishi naye ili kujenga familia na kuwa na watoto kwaajili ya maisha ya baadaye. Natamani kupata mtu ambaye kama atakuwa anawiwa tufanye vitu vya kuishangaza dunia na JF included.

SIFA ZANGU:

Dini: Roman Catholic
ELIMU: Soma mwandiko wangu
Umri: Under 30
Kazi: ......
Kasi ya mapenzi: 1 hour for two goals (I mean Kunyanduana)
Marital status: Single
Kabila: Tutajuana PM
CONTACT: Njoo PM
Quality Intelligence: Tutapima
Mtoto: Sina
Makazi: Tutajuana PM


SIFA ZA MTU NINAYE MHITAJI:

1. AWE NA HELA
2. Kabila lolote
3. Dini yoyote
4. Aishi sehemu yoyote ile duniani
5. Anipende


NB: Kwa yeyote aliye serious naomba aje PM na nipo serious.

Mwisho: Nahitaji mke kutoka moyoni mwangu mbele ya hii public ya watu zaidi ya laki 5.

Naomba kuwasilisha....
mkuu tafuta kwanza mengine yatafuata
 
So kwamba tunahtaji hizo pesa za wanawake,tunahitaji usawa mnao utaka hyo wa fifty fifty.kwahyo usawa kwenye pesa hakuna?,au ni vibaya kuwa na mwanamke kwenye pesa???
Mkuu naona kuna ma allshababu wanakushambulia, we wapotezee tu.

"Limtokalo mtu kinywani, hutoa taswila ya tabia yake"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom