Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

Haya tena ndiyo mambo ya ujasiliamali huo jitahidi dada utafanikiwa
 
Jamani wanaume wa jf humu tulio wengi ni majembe, ndo maana wadada wanataka kutoka humu.
 
Weka picha unaweza pata mume kumbe baba au kaka zako
 
Kuna uzi uliwekwa humu hivi karibuni na jamaa mmoja hivi nadhani wa Morogoro kuwa anatafuta mchumba/mke mtarajiwa.

Jamaa aliweka na picha kabisa.Labda ungemtafuta huyo angerahisisha sana ndoto yako.

Kila la kheri!
 
wadau unaweza kuwa dar lkn unatoka kanda ya ziwa.

msisahau kwenu jamani.

mdada naomba uni pm sifa ninazo.
 
!
!
Is it you? Is it you?
Maybe you're the one I've been
waiting for
Could you be the one for me?
Could you be the one I need?
 
Simple....aliekua anaku bomoa ndo akuoe....umletee nani makombo?...yaan umesubir uchokechoke ndo uletee watu walio serious na maisha?
 
Ukikosa wa kukuoa niPM niwe nafanya Part time ya kupenzika na wewe wakati unatafuta wako wa Ubani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom