Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

Dada una maelezo mazuri kwelikweli, ila umenichosha kwamba wa kanda fulani ndo watafikiriwa! Swali langu kwako ni, kwa maelezo yako ni kama vile unasubiri idadi fulani katika kapu lao na ndo uchague yup ndo atakufaa, sasa idadi yhalisi unayotegemea kwa kapu lako ni ipi?

Kwan huna taarifa kuwa wanaume Wa dar wanaogopa panya road?
 
Wakati mpo chuoni mnajifanya hamtaki wanachuo wenzenu kisa hawana pesa mnatoka na mababu.mkimaliza chuo ndio mnajua kutafuta wa kuwaoa.
Asilimia kubwa ya wanawake wanaotafuta wanaume kwenye maharusi,mitandao ya kijamii au makazini,vyuoni walikuwa wanabadilisha wanaume kama Nguo.nakumbuka wife material karibu wote huwa wanamaliza na wachumba wa kueleweka
 
Mbona 24 bado sana....bado una nafasi ya kuchagua anaekonga nyoyo yako.
 
Unataka wanaume waliotishwa na panya road wakae pembeni??
 
huyu mtoto wa kwetu kabisa MUNJEBWE,jamani ambao hawajaoa muoeni huyu mtoto ni mzuri
 
Wakati mpo chuoni mnajifanya hamtaki wanachuo wenzenu kisa hawana pesa mnatoka na mababu.mkimaliza chuo ndio mnajua kutafuta wa kuwaoa.
Asilimia kubwa ya wanawake wanaotafuta wanaume kwenye maharusi,mitandao ya kijamii au makazini,vyuoni walikuwa wanabadilisha wanaume kama Nguo.nakumbuka wife material karibu wote huwa wanamaliza na wachumba wa kueleweka

Kuna ka ukweli fulani....
 
Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha thread humu, nina umri wa miaka 24. Elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa nimeajiriwa kwenye kampuni moja hapa jijini mwanza, dini yangu ni rc. Ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde pia sina mtoto wala cjawahi kuolewa. Kwa umri huu najitokeza kutafuta mume kigezo kikubwa awe na hofu ya mungu, awe ameajiriwa au kujiajiri. Sichagui dini wala kabila. Waishio maeneo ya kanda ya ziwa hasa Mwanza watapewa kipaumbele. Matusi na kejeri sitaki tafadhali, kama hauna hoja pita kimya kimya tu! Thanx

WACHA WE,,,,,,,HUJATAJA NA UMRI WA HUYO UNAEMUITAJI KTK VIGEZO VYAKO,,,,SISI ABOVE 34YRS hatuna nafasi au,,,,,NA JE NA SISI WA DAR HATUNA NAFASI KTK VIGEZO VYAKO
 
Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha thread humu, nina umri wa mjiaka 24. Elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa nimeajiriwa kwenye kampuni moja hapa jijini mwanza, dini yangu ni rc. Ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde pia sina mtoto wala cjawahi kuolewa. Kwa umri huu najitokeza kutafuta mume kigezo kikubwa awe na hofu ya mungu, awe ameajiriwa au kujiajiri. Sichagui dini wala kabila. Waishio maeneo ya kanda ya ziwa hasa Mwanza watapewa kipaumbele. Matusi na kejeri sitaki tafadhali, kama hauna hoja pita kimya kimya tu! Thanx

Mi nipo hapa, ni pm tuone tutafikia wapi.Tukielewana itakuwa poa.Just pm
 
Wakati mpo chuoni mnajifanya hamtaki wanachuo wenzenu kisa hawana pesa mnatoka na mababu.mkimaliza chuo ndio mnajua kutafuta wa kuwaoa.
Asilimia kubwa ya wanawake wanaotafuta wanaume kwenye maharusi,mitandao ya kijamii au makazini,vyuoni walikuwa wanabadilisha wanaume kama Nguo.nakumbuka wife material karibu wote huwa wanamaliza na wachumba wa kueleweka

IFRS umekuna, umegusa na ukafunika!!!
Chuo ni ulimwengu uliopoteza direction ya wengi kimahusiano in particular!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom