Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

Dada una maelezo mazuri kwelikweli, ila umenichosha kwamba wa kanda fulani ndo watafikiriwa! Swali langu kwako ni, kwa maelezo yako ni kama vile unasubiri idadi fulani katika kapu lao na ndo uchague yup ndo atakufaa, sasa idadi yhalisi unayotegemea kwa kapu lako ni ipi?

Mkuu umewaza kama mim
 
Huko church au kwenye social gathering ndo maeneo mazuri zaidi ya wewe kupata mtu ambaye atakufaa kwa kuwa na common interest nawe! JF wapo wachache, na wahitajika kuomba zaidi kupata humu. Wengi watakuwa ni vitendawili kwako! Ila all thre best, yawezekana mpenzio yupo humu JF aliyekupangia Mungu.
 
Hilo jina mtoto wa kike litakukosesha raha ya mbingu ya saba. Kama huamini weka picha hapa wadau wahusianishe na jina lako.
 
tatizo wanaweza wakamuua unajua hawa jamaa miili mikubwa akili kidogo
wao miguvu kulukundu wanaweza wakamchoma au kumkata mapanga bora mkuu ujitwalie jiko

Tatizo vigezo na masharti mkuu...
 
humu JF Utapata wauongo tu. eti 'MSHUBI WA LULENGE', jina tu linatisha ndo maana umri unaenda dada. Nakushauri ujiite angalau 'BABY'

Aaa kumbe ni wa muhira ngara hebu ni pm nikamate fursa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom