Anza sasa jikubali hujachelewa bado.Umri wangu kwa sasa ni miaka 33 siku si nyingi nitakuwa 34 umri wangu kila nikijiangalia umekwenda mno kwani mpka hivi sasa
1.sina mtoto
2.sijaowa wala sina familia
3.kimaisha bado sijasimama vizuli
4.mchumba ninae ila nina wasiwasi sijui kama Kwao watamkubalia kuolewa na kijana ambae kimaisha bado hajasimama vizuli maana sina ajira na biashara zangu ndo vile za kubahatisha.
Wadau zangu naombeni ushauli presha ya umri wangu kusonga mbele huku nikiwa hakuna nilichokifanya roho huwa inaniuma.
atulieje sasa??Tulia, muda bado!
atulieje sasa??
Sawa.Aombe afya njema tu! Ujenzi wa familia bora unaendana na mipango thabiti sio at kwa sababu umri unakwenda unajiona mnyonge unataka kujipa majukumu usiyoyaweza, unadhani upo peke yako?
Umri ni namba tu, furaha ya maisha inajengwa na vitu vingi.
Kweli kabisaAombe afya njema tu! Ujenzi wa familia bora unaendana na mipango thabiti sio at kwa sababu umri unakwenda unajiona mnyonge unataka kujipa majukumu usiyoyaweza, unadhani upo peke yako?
Umri ni namba tu, furaha ya maisha inajengwa na vitu vingi.