Umri sahihi wa kuoa kwa wanaume na kuolewa kwa wanawake ni upi?

na umri ule afu wewe upo 20's-30's afu unajilaumu oooh nimechelewa kuoa angalia le tajiri yaani ni bata juu ya bata *****
maisha yenyewe mafupi mkuu wanaume tunakufa mapema sana mimi nitaoa insha'allah nikiwa 60 kipindi ujana unaanza kunila
 
Inategemea Wewe mwenywe mkuu unataka wa miaka mingap, coz kama Wewe una miaka 40 basi jitaid kuchukua japo 28 au 30 si mbaya
 
sheria ya wapi wewe?sheria ya ndoa ya tanzania inaruhusu kuanzia miaka kumi na tano(15) tukiwaambia ccm na serikali yake ni ya hovyo hamsikii masheria ya hovyo mengi na mengine yanaanza wiki ijayo kugandamiza wananchi kwa kupora uhuru wetu

Kama wewe ni wa kwanza kuhukumiwa na hiyo sheria, mambo ya CCM yanatoka wapi hapa?
 
Back
Top Bottom