Umri sahihi wa kuoa kwa wanaume na kuolewa kwa wanawake ni upi?

Wadau msichana mwenye umri gani ndo ana faa kuoa namanisha range in age kuanziia miaka mingapi adi mingapi?
 
Kwasababu hicho unachotaka kwa mke hakizeheki mimi naona so long as anaweza kushika mimba na kukuzalia mtoto, umri wowote kuanzia miaka 35 hadi 47 anafaa kuoa, lakini kama huna shida ya kupata mtoto, then kuanzia miaka 35 hadi 58.
Ukioa mwanamke mwenye 35 mpaka 47 ndoa haiwezi kua na matatizo au talaka. halafu yale mambo yetu wanayajua vzr sana yaani ni wapishi wazuri sana. chini ya miaka 35 usithubutu kuoa maana wana tamaa ya kuanzia fashion mpaka vyakula na hawajui shida.
 
cc tumewatumia wengi sna wakiwa na umri wa miaka 16 mpk tukachoka xaxa wewe danganywa miaka 30 utakuta wameshakutanulia shimo la kufa m2
 
Nadhan pana tofaut kidogo...kati ya uwezo wa kuzalishwa/kufanya ngono....na kuoleka. Nadhan kuoleka kuna husika zaidi na mental maturity ya binti.
 
Kisheria ni kuanzia 18yrs.

sheria ya wapi wewe?sheria ya ndoa ya tanzania inaruhusu kuanzia miaka kumi na tano(15) tukiwaambia ccm na serikali yake ni ya hovyo hamsikii masheria ya hovyo mengi na mengine yanaanza wiki ijayo kugandamiza wananchi kwa kupora uhuru wetu
 
kanapiga hiyo sijui inaitwa sharafu afu kana binua tako basi unakafata inbox kanakwambia nicheki whatsapp 071478...... tuchart kameisha

Hahahahaa hawa watoto wa kike cku hizi ni majangq makubwa aisee...mpaka aje aolewe keshapigwa na wanaume 20+ na wengine amewahau!
 
Hahahahaa hawa watoto wa kike cku hizi ni majangq makubwa aisee...mpaka aje aolewe keshapigwa na wanaume 20+ na wengine amewahau!

teh teh teh uchi rahisi kupatikana sana siku hizi hebu tarai uone miujiza
 
Back
Top Bottom