daud salehe
Member
- Sep 20, 2023
- 14
- 33
Kama mnavyoona kichwa Cha habar hapo Sina mke Wala mtoto na hapa bado sielew nawaza juu hili
Kama ni mwanaume na ni maskini bado sana,ila kama pesa ipo bas uache udomozegeKama mnavyoona kichwa Cha habar hapo Sina mke Wala mtoto na hapa bado sielew nawaza juu hili
Siyo udomo zege mzee labda pesa ndo Sina na ndo mana wanawake awatak kunizaliaKama ni mwanaume na ni makini bado sana,ila kama pesa ipo bas uache udomozege
Watu wanaoa na 40 unasema 31?Wala usiwe na presha mzee kuna wadau wameoa na miaka 31 na ndoa zina furaha na watoto wamepata. Allah atakubariki
Kama mnavyoona kichwa Cha habar hapo Sina mke Wala mtoto na hapa bado sielew nawaza juu hili
Jiangalie vzr wewe. Pesa na kuzalisha havina mahusiano ndio maana kuna watoto wa mitaani kibao sababu ya umasikini wa wazazi wao. Aliyekwambia mbpaka uwe mjukuu wa baresa ndio uzalishe ni nani?Siyo udomo zege mzee labda pesa ndo Sina na ndo mana wanawake awatak kunizalia
Nashukuru Kwa hilo nikiangalia umri unavyoenda na Bado cielew na nikiangalia washikaji wanaoa na watoto najiona nachelewa sanaWala usiwe na presha mzee kuna wadau wameoa na miaka 31 na ndoa zina furaha na watoto wamepata. Allah atakubariki
Ndy mana nikasema labda wanawake awataki kunizalia tuJiangalie vzr wewe. Pesa na kuzalisha havina mahusiano ndio maana kuna watoto wa mitaani kibao sababu ya umasikini wa wazazi wao. Aliyekwambia mbpaka uwe mjukuu wa baresa ndio uzalishe ni nani?
Dah mzee ukiona uwez shauri Bora uachanayo post kuliko kukoment ujingaBasi Olewa uwe wewe mke.
Dah mzee ukiona uwez shauri Bora uachanayo post kuliko kukoment ujinga
H hujachelewa sanaKama mnavyoona kichwa Cha habar hapo Sina mke Wala mtoto na hapa bado sielew nawaza juu hili