Umri gani mtoto wa kike yuko Tayari kuolewa?

Kubarehe ni ishara ya mwili kuwa Sasa yupo tayari kuweza kushika mimba n.k namaanisha kimwili anakuwa kapevuka lkn tunapokuja kwenye swala la ndoa.. hili ni swala nyeti mkuu na hili swala linahitaji uyakinifu!.. kwenye ndoa si tu mtoto wakike aende kisa tu kapevuka kimwili no bali awe amepevuka kiakili pia!.. ndoa sio mchezo,kumuingiza mtoto wa kike kwenye ndoa kisa kapevuka kimwili tu hiyo haifai!.. ndio maana dada zetu sometimes hukimbia ndoa zao.
Hivi najiuliza kwa nini kupevuka kwa kubarehe isiende sambamba na Upevukaji wa akili,hii naona kama sio sawa vile hata vitabu vya dini havitambui hiyo.
 
Hivi najiuliza kwa nini kupevuka kwa kubarehe isiende sambamba na Upevukaji wa akili,hii naona kama sio sawa vile hata vitabu vya dini havitambui hiyo.
Kupevuka kwa akili pia inategemea sana na aina ya Malezi kutoka kwa Wazazi!!
 
Kupevuka kwa akili pia inategemea sana na aina ya Malezi kutoka kwa Wazazi!!
Mimi naona hii ni dhana ambayo haisaidii ,kwa aliye pevuka kimaumbile tayari anatakiwa kuolewa ,mfano wenzetu wazungu wanaanza kuitwa mama toka akiwa na umri wa miaka 15-16 ,hata Wahindi na Waarabu ni hivyohivyo.
 
Inategemea unakaa katika dunia ipi.

Mila za kawaida, ni kuvunja ungo.
Mila za ustaarabu ni kukomaa kimwili, kiakili na kukamilisha maandalizi ya masual muhimu katika maisha kama study za kazi (elimu).
Kwenye dini ya mapanga, ngono na book haranu ni umri wa miaka 6.



Greetings earthlings,

Nimewasoma mnavyosoma kuhusu ndoa za utotoni ikabidi nijiulize utoto unaisha lini?

Kuna wanaosema ni kabla ya kubarehe/kuvunja ungo kuna wanaosema ni mpaka ufikishe 18yrs nk. nk.

Kuhusu mtoto wa kike kuolewa;Tukiachana na maswala ya kusoma shule na Sheria za nchi husika (haya sio constant duniani kote na hubadilika kulingana na muda)

Tukafikiria kama jamii iliyostaarabika,iliyoendelea katika karne hii je! Ni

Umri gani mtoto wa kike yuko tayari kuolewa?

maana kidini kuna dini zingine zinaruhusu hata mtoto ambaye hajabarehe aolewe kwenye vitabu vyao

Nahitaji jibu ethical
 
Ndo linaniumizag kichwa bro.. Kuna mmama nilimuambia bint yke nilimuelew lkin kasem binti yke mpka 30 ndo atanikabidhi mm nmekata tamaa
 
Back
Top Bottom