DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,986
- 3,151
Tunawatukana na kuwakejeli wanafunzi wa vyuo vikuu hasa vile vya Dodoma na Mwanza wote kwa ujumla wao eti kwa kuwa wanamuunga mkono Lowassa kugombea uraisi, mimi nafikiri tunaofanya hivi ndo tuna matatizo ya uelew hasa juu ya mwenendo wa kisiasa wa lowassa.
Mosi, si wanafunzi wote wanafanya hivyo bali ni wale wanafunzi ambao ni wanachama wa ccm tena wale wanaotumiwa na Lowassa na team yake lakin kwa sababu za kuonyesha umma kwamba anaungwa mkono ndo maana wanatumia general term "wanafunzi wa vyuo vikuu".
Pili, hata hao vijana wa ccm wa maeneo tajwa si wote bali ni wale walioandaliwa strategically kufanikisha hilo, ukumbukwe pia Lowassa alianza muda mrefu kiandaa mipango hii akianzia kanisani na msikitini!