Umoja wa vyuo vikuu Mwanza watangaza kumuunga mkono Lowasa

Umoja wa vyuo vikuu Mwanza watangaza kumuunga mkono Lowasa

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Taarifa kupitia chanel ten hivi punde imeonesha wanafunzi wa vyuo vikuu kwa umoja wao wakipaza sauti kumtaka Lowasa agombee urais na wapo nyuma yake..

The saga continues.. Sasa hivi hawamfati wanatamkia huko huko!!!
 
Umoja wa wanachuo mkoani mwanza nao wamejitokeza kumuunga mkono lowasa ktk mbio za urais

Wanasema anaweza,anastahili na wapo pamoja nae,wakiongea wakiwa ktk shughuli ya kuchangia wasiojiweza wamedai kwamba lowasa alipambana ktk suala la elimu hivyo wanamuona ni mkombozi wao
Hivyo wanamtaka asisite kuchukua fomu muda utakapo fika

Source:chanel ten habari saa 1 usiku

My take: hawa ni wasomi wasiojitambua
 
Acha UPOPOMA Mkuu! Ktk Umoja Wako Huo Wa Vyuo Vikuu Hebu Kitoe Na Nina Uhakika Chuo Kikuu Changu Pendwa SAUT Hakipo Na Hakithubutu.
 
Nimeona ni ka group kadogo kenye kutaka kuuza sura kwenye tv
 
Acha UPOPOMA Mkuu! Ktk Umoja Wako Huo Wa Vyuo Vikuu Hebu Kitoe Na Nina Uhakika Chuo Kikuu Changu Pendwa SAUT Hakipo Na Hakithubutu.

Ungeenda kuwaambia hayo maneno hao wanachuo kwa maana hivyo ndivyo walivyojitambulisha kwa wanahabari kwamba ni umoja wa wanachuo mwanza,sasa hasira za nini kama wewe uhusiki na hao?
 
Ni sifa gani kuubwa aliyo nayo EL hadi watu wampigia kifua cha uraisi?

Niliwahi kusikia wengine wakisema eti ana maamuzi magumu! Ptuuu! Mimi binafsi sikubaliani na hoja kama hii kumuingiza mtu Ikulu. Alishawahi kuwa kiongozi mbona hayo maamuzi magumu hatukuyaona yakilibadilisha taifa hili angalau kutoka nchi masikini sana na kuwa nchi inayoendelea? Ok, hata tukikubali kwa shingo upande kuwa ni kweli ana maamuzi magumu. Hivi ukiwa na maamuzi magumu halafu watendaji wako wooote wana maamuzi mepesi utaweza kufanya lolote?

Nikubaliane na mdau mmoja alieaandika kuwa ukiamka leo ukawaambia watanzania kuwa kazi ya kuandikisha wapiga kura imeshakamilika kwa asilimia 95 na tar 30 katiba itapigiwa kura watakubali na kupiga vigelegele.
 
Ungeenda kuwaambia hayo maneno hao wanachuo kwa maana hivyo ndivyo walivyojitambulisha kwa wanahabari kwamba ni umoja wa wanachuo mwanza,sasa hasira za nini kama wewe uhusiki na hao?

SAUT Haina MAPOPOMA Kama Hao Waliounda Huo Umoja Wa KiPOPOMA.
 
Umoja wa wanachuo mkoani mwanza nao wamejitokeza kumuunga mkono lowasa ktk mbio za urais

Wanasema anaweza,anastahili nia wapo pamoja nae,wakiongea wakiwa ktk shughuli ya kuchangia wasiojiweza wamedai kwamba lowasa alipambana ktk suala la elimu hivyo wanamuona ni mkombozi wao
Hivyo wanamtaka asisite kuchukua fomu muda utakapo fika

Source:chanel ten habari saa 1 usiku

My take: hawa ni wasomi wasiojitambua

Kwa sababu hawamuungi unayempenda wewe mkono! Hayo ni mawazo yao yaheshimiwe ndiyo msingi wa demokrasia. Na bado dhoruba hizo ni rasharasha tu.

Watu walisema kule Nigeria wanamtaka Buhari kina Jonathan wakawapuuza. Leo hii Tanzania wanamtaja Lowassa lakini munawapuuza subirini muone kitakachotokea!

Siku zote sikio la kufa halisikii dawa!
 
Tatozo sera za wote wanaompamba lowasa kugombea uraisi wanaongozwa na sera kuu ya kutokutaka mgombea wa urais fisadi,swali langu n moja kwao ni nin kilichomfanya lowasa ajihudhuru nafasi yake ya uwaziri mkuu.
 
Mwanza vyuo vyote vibabeba div3 na div 4 kama UDOM, sasa hapo unategemea nini mkuu?

Hili ni tusi kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Mwanza. Ila hata Witson Churchil alifeli mtihani wa sekondari mara kadhaa lakini hakuna kilichomzuia kuwa waziri mkuu bora wa Uingereza wa wakati wake.

Wanafunzi wa Mwanza niwatie moyo "There no fools in the learning process but we only have slow learners". The guy accusing you is suffuring from academic arrogance and extra coaching disease popularly known as tuition.

Ignore him!
 
jaman saut haiko ivo ila hayo ni magamba madogo yamejitokeza leo
 
Nimeiangalia habari hii ITV kwa hakika nimeridhika kuwa kuna uhuni mkubwa unafanyika wanafunzi wa vyuo vikuu wameenda na zawdi ya Pasaka kwa watoto yatima wakiwa huko eti wanamuunga mkono Lowassa, hivi cha kujiuliza nini kwamba walikutana pale kwa lengo la kutoa zawadi kwa watoto yatima au walikutana pale kwa ajili ya kummunga mkono Lowasa ? Kama lilikuwa ni lengo la kuwaona watoto ya Yatima na kuwapa zawadi iweje swala hilo liunganishwe na ombi ya kumomba Lowassa agombee uraisi ?
 
Back
Top Bottom