Umoja wa Mataifa wajitosa sakata la Ben Saanane

Vyeti vya Paul Makowise/Shite boy Kama kawaida tunalokichwani[emoji1]
Tunalo kichwani wakati linakuja LA vigogo wanao fukuzwa xxm!!? Akna nsukuma[emoji2] [emoji1] [emoji2]vyombo vyote vya habar vimehamia Dom. Fanya uchunguzi utagundua kuna kaukwel flan hv juu hz propaganda za (sahaulisha nyumbu yetu yaendelee)
 
Sasa ni wakati wa Kzazi cha kuhoji kwenda kuonana na Hellen Kijo
 
Tunalo kichwani wakati linakuja LA vigogo wanao fukuzwa xxm!!? Akna nsukuma[emoji2] [emoji1] [emoji2]vyombo vyote vya habar vimehamia Dom. Fanya uchunguzi utagundua kuna kaukwel flan hv juu hz propaganda za (sahaulisha nyumbu yetu yaendelee)
Hahahahaha Hashtag [HASHTAG]#wekavyetimezanimakonda[/HASHTAG]
 
Kuna watu sasahivi hawapati usingizi huko ufipa
 
Justice for Ben please
Mkuu angekua kawekwa lock up ndo tungesema justice for Ben sasa hatujui yuko wapi wala hatujui nani yuko nae
Hii nchi noma
Sijui yule Dr Ulimboka yuko wapi siku hizi aisee
 
Bado nafsi yangu sijaamini Ben kweli kspotea au la!
Tanzania kubwa labda yupo lindi huko ndani analima kafuga ndevu haogi na istoshe kijijini hamna net wala gazeti na ni ngumu kuenea kote huko so life goes on
 
Mkuu angekua kawekwa lock up ndo tungesema justice for Ben sasa hatujui yuko wapi wala hatujui nani yuko nae
Hii nchi noma
Sijui yule Dr Ulimboka yuko wapi siku hizi aisee
Nilikutana nae Ulimboka anaishi huku Tshwane SA
 
Na waliofanya haya usikute wako humuhumu jf wanatuchora tuu sisi tunao muulizia.

Ni vile siwezi tu ningewapa kazi Scotland yard.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app

..sidhani kama Scotland Yard wanaweza kuitwa bila ridhaa ya serikali ya Tz.

..kama vyombo vya dola havina interest ya kumtafuta huyu kijana basi suala hili litabaki hivi hivi kama lilivyo.
 
hitimisho: dola ndo imemficha.
 
Back
Top Bottom