mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 5,155
- 5,880
Teh Teh Utani wa Ngumi huuCHADUMA Malalamiko yenu mengi sana, mara ben, mara kuibiwa kura, mara rais atangaze baa la njaa, hebu kuweni na hoja madhubuti ili nyumbu wawaelewe, make inefikia kipindi hadi nyumbu hawaon mwelekeo
Subir UN wamtafute acha kurukarukaCHADEMA SEMENI MMEMFICHA WAPI MTU WENU ?!
Mende kapanda MlimaTulikua tumeshafunika kombe naona watu wanalifunua
Na waliofanya haya usikute wako humuhumu jf wanatuchora tuu sisi tunao muulizia.Hivi sheria ya uchaguzi imekaaje maana kamanda wetu kitambo sana tangu apotee na cjaona uchaguzi ukifanyika ama serikali inajua alipo msikaji wetu ndoo maana ikafunga jalada lake mapema.
KumbeBen ni mwajiriwa wa oysterbay...mnauliza yuko wapi
Inawezekana wanasoma hata comment hiiNa waliofanya haya usikute wako humuhumu jf wanatuchora tuu sisi tunao muulizia.
Ni vile siwezi tu ningewapa kazi Scotland yard.
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Hapo hapo[emoji117]UN wataanzia wapi?
Hahahaaa kumbe hujagundua KUWA kuna watu wanakula mshahara KWA jipaji cha kufunika matukio??CHADUMA Malalamiko yenu mengi sana, mara ben, mara kuibiwa kura, mara rais atangaze baa la njaa, hebu kuweni na hoja madhubuti ili nyumbu wawaelewe, make inefikia kipindi hadi nyumbu hawaon mwelekeo
Umenigusa[emoji21]Nyie msipepese MACHO kwenye hili.......ukifatilia hili suala BEN kinadharia zaidiu moja moja unoona UHUSIKA wa watu fulani kumtoa huyu kijana KAFARA au kumdhuru kwa kumuumiza ili kuhalarisha UPUUZI wao.....Jaribuni kuunganisha nukta juu ya UZITO unaotolewa na wahusika kama chama juu ya hyu kijana.....
Ukimya wao si bure.....kuna kitu wanajaribu kukitengeneza kujinasua katika hili.....Inawezekana hata upande wa pili waishasoma janja yao au wanataarifa juu ya hili....Na wao kama wenye mamlaka wanaamua kuwawinda kuona wao watasema nini au kufanya nini ili mwisho wa siku wawaumbue.....Maana hili suala la BEN ni mtaji mkubwa sana baina ya PANDE hizi mbili....ndio maana wanawindana NA CHAMA HUSIKA wanajaribu to handle this with care.....NI SUALA LA MUDA TU
Fisiem mmeshamaliza kulana maana imekuwa si kukatana mkia tena.CHADUMA Malalamiko yenu mengi sana, mara ben, mara kuibiwa kura, mara rais atangaze baa la njaa, hebu kuweni na hoja madhubuti ili nyumbu wawaelewe, make inefikia kipindi hadi nyumbu hawaon mwelekeo
Vyeti vya Paul Makowise/Shite boy Kama kawaida tunalokichwani[emoji1]Hahahaaa kumbe hujagundua KUWA kuna watu wanakula mshahara KWA jipaji cha kufunika matukio??
Linapotokea tukio moja ambalo linabeba hisia Kali za nyumbu, basis hao wataalamu wanaandaa tukio jingine faster ili kuwahamisha nyumbu na vyombo vya habari hatmaye like LA mwanzo nyumbu wanalisahau taratiiibu;
Ndio maana hata mi nashangaa kuuona tena huu Uzi WA Ben wakat tulisha sahaulishwa?!!!?[emoji3] [emoji2] [emoji1]
Bado nafsi yangu sijaamini Ben kweli kspotea au la!Vyeti vya Paul Makowise/Shite boy Kama kawaida tunalokichwani[emoji1]
Mkuu hakuna njia ya kufanya mambo yetu yale ili kujua Ben yuko wapi?