Umoja wa Kujihami wa Makanisa (UKM)

Umoja wa Kujihami wa Makanisa (UKM)

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
649
Reaction score
1,373
Nadhani kuna haja ya kuunda Umoja wa Kujihami wa Makanisa. Umoja huu utahusika zaidi kuwalinda viongozi wa Kanisa watakaoingia kwenye Umoja huu. Kwa mfano, RC, KKKT, TAG, IFUFUO NA UZIMA wanasaini mkataba wa Umoja huu. Itakuwa kiongozi mmoja wapo kutoka kwenye Umoja huo akifanyiwa dhuluma, WAUMINI wa Makanisa yote yaliyopo kwenye Umoja huo wanasimamisha shughuli zote mpaka haki ya kiongozi huyo ipatikane kwanza.
 
wengi wa viongozi wa kilokole ni masnichi...akina mwamposa sio wa kuwaamini
 
Back
Top Bottom