Umoja wa Kizazi cha Kuhoji Tanzania (UTG) umeandaa maandamano ya amani tarehe 16 November

Huu umoja ni wa washirki wa 0713!?

Mbona logo/ nembo yao ni ya Obama na David Cameron!?

Any way, kila la heri...
 
it seems they didn't reach mutual agreement between him na hao wasiojulikana, may be sababu ya misimamo yake wa kutompigia magoti binadamu mwenzako. Thereafter, we don't know what they did to this innocent & energetic and great brain young boy. Sasa hatujui kama tutaonana na huyu kijana hapa duniani ama huko mbinguni hayo tunamwachia Mungu baba mwenyezi Muumba mbingu na nchi.
 
Hiyo taasisi ya UTG imesajiliwa? Kazi zao kwenye katiba yao kama imesajiliwa je moja ya kazi zao ni kuitisha maandamano?
Jukumu LA kuandaa maandamano ni LA kila raia wa Tanzania ili mradi makusudi ya maandamano hayakinzani na sheria halali (si matamko) za nchi yetu na ni haki ya kikatiba!
 
Massawe atakuwepo, Chuwa atakuwepo, Shayo atakuwepo, Mushi atakuwepo , Kimaro atakuwepo, Swai atakuwepo, Lema atakuwepo, Urassa atakuwepo, Nkya atakuwepo, Ndosi atakuwepo, Meena atakuwepo, Temu atakuwepo, Mlaki atakuwepo, Lyimo atakuwepo, Moshiro atakuwepo, Kimambo atakuwepo, Tesha atakuwepo, Macha atakuwepo, Njau atakuwepo, Mrema atakuwepo, Chami atakuwepo, Temba atakuwepo bila kuwasahau Tarimo na Kimbolo nao watakuwepo
 
ha ha kitambulisho kikuu kingine cha kuwajua hata kama kuna uliemsahau jina ni kuangalia meno yao na lafudhi yao pia utajua huyu naye wa Kilimanjaro beer
 
Massawe atakuwepo, Chuwa atakuwepo, Shayo atakuwepo, Mushi atakuwepo , Kimaro atakuwepo, Swai atakuwepo, Lema atakuwepo, Urassa atakuwepo, Nkya atakuwepo, Ndosi atakuwepo, Meena atakuwepo, Temu atakuwepo, Mlaki atakuwepo, Lyimo atakuwepo, Moshiro atakuwepo, Kimambo atakuwepo, Tesha atakuwepo, Macha atakuwepo, Njau atakuwepo, Mrema atakuwepo, Chami atakuwepo, Temba atakuwepo bila kuwasahau Tarimo na Kimbolo nao watakuwepo
Watata hawa!:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom