Kwanini eneo lote la Boko hadi Bunju hakuna ATM ya Umoja Switch?

Kwanini eneo lote la Boko hadi Bunju hakuna ATM ya Umoja Switch?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,263
Reaction score
12,667
Nyie jamaa mjifikirie tena...no wonder crdb inazidi kupeta yaani eneo lote la Boko hadi Bunju hadi Mapinga wala Mbweni hakuna ATM ya Umoja Switch japo kwenye kituo chochote cha Mafuta.

Worse enough hata mawakala wa benki za mtandao wa ATM hizi hawako na walioko mara zote hawanaga salio.

Mnafeli wapi!? Kuleta ATM za umoja huku!?

Kuna watu hatutumii mobile banking sababu ya makato yao hao MNOs sasa ATM ndo tegemeo letu na nyinyi huku hamjaleta.

Na eneo hili lote la Mbweni,Bunju Beach,Boko nk kuna middle incomers wengi tu...ATM pekee ya umoja ni ya Kunduchi ambayo mara kadhaa ina misbehave au mtu aende nyuki.

Yaani nifunge safari weekend kutoka kwangu Mabwepande 17 kms × 2 kwenda na kurudi Nyuki kufuata elfu 30!?? Kuweni serious basi nyie UMOJA SWITCH.

Au tufanye petition kwenye magrup yetu huku kitaa tuhamie zile benki kubwa.!?

Fanyeni mlete ATM fasta!! Mkiweza moja muweke Boko Magengeni au pale shell ya Mlimani 'Kwa Wagogo'... Nyingine wekeni Petro filling station ya Bunju Baharia au Petro Filling Station Bunju 'B' [emoji2955][emoji2955][emoji852]
 
Kama mkurugenzi mkuu naahidi kufanyia kazi mawazo haya
 
Kama mkurugenzi mkuu naahidi kufanyia kazi mawazo haya
Asante CEO. Kwa niaba ya wenzangu wa Boko,Mbweni,Bunju tunaoteseka kupata huduma ya kifedha kupitia mtandao huu wa Umoja Switch tutashukuru kutusogezewa huduma.
 
Back
Top Bottom