UMOJA switch ATMs ni KEROO...!!!

UMOJA switch ATMs ni KEROO...!!!

Mna kazi bora mtumie Bank zenye Visa card, Master card au Maestro hata nje zitawasaidia sio hizo bank zinazoishia Magomeni.
 
Kama una akaunti bank ambayo inatumia ATMs za UMOJA switch usizitegemee kabisaaa ATMs za UMOJA switch kwani zinaweza kukuangusha ukaonekana mswahili, ukaonekana ni muongo, ukakosa dili kama lilikuwa linahitaji pesa ya haraka, ukabaki unaduwaa ukakosa pesa ya kutumia kwa muda huo!! Bora ningeweka pesa zangu chumbani au nikaweka kwenye benki za ATMs nyingine kama NMB au CRDB manake kote huko nina akaunti...!! NIMEJUUUUUTA
Hivi Bukoba kuna umoja ATM?
 
Back
Top Bottom